Rushwa inadumaza maendeleo ya soka letu

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Kumekua na kawaida ya maamuzi yenye utata ambayo yanainufaisha timu moja au timu kuwa katika kiwango duni sana siku ya mechi na kupelekea kufungwa kirahisi sana vitu ambacho vinahusishwa sana na rushwa

Unakuta coastal union anaikazia azam na kufungwa kwa mbinde sana alafu mechi ijayo anapigwa kirahisi kabisa

Imefika hatua mambo kama haya yachunguzwe na vyombo vinavyohusika na mchezo wa soka
 
Leo jion pia usisahau kua biashara ishafanyika tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…