Usafiri wa pikipiki umekuwa msaada mkubwa sana kwa watu wa kada zote kwa ajili ya kuharakisha safari nyingi za kuingia na kutoka maeneo ya mjini na unasaidia sana kurahisisha shughuli za kiuchumi, pia kazi ya bodaboda imeajiri kundi kubwa la vijana kuanzia wasomi na watu mbalimbali wanaooendelea kujitafuta.
Changamoto kubwa ni askari kukamata pikipiki na kukaa zaidi ya masaa mawili hajamwandikia faini bodaboda wala hana mpango naye anakuwa anachukulia kama bodaboda na abiria wake hawana haraka yoyote ile, yeye yuko anakomaa kuendelea na ukamataji au kuita magari wakati anatakiwa kumhudumia pikipiki mmoja ndo aende kwa mwingine au unakuta ni operesheni kabisa ya kukamata bodaboda na kuzipeleka kituoni mkaelewane huko, ila hii yote ni kuandaa mazingira ya rushwa ili boda boda atoe hela kubwa aachiwee.....
Ushahuri: Ni wakati sasa bunge litunge sheria askari ukikamata chombo cha moto chochote kama dereva amekubali kosa ndani ya dakika tano awe ameandikiwa na kuondoka na kama ni pikipiki alipie faini na kuondoka mda huo huo na kila ucheleweshwaju wa askari aliyemkamata dereva awajibishwe.....
Eneo nililofanyia uchunguzi wangu ni mataa ya namanga trafiki anakamata pikipipiki kuanzia saa moja asubuhi akimaliza kuita magari saa nne ndo mnaelewana, kituo cha big brother mda wa mchana askari wanakamata pikipiki mchana wanawasubirisha mfike wengi ndo muelewane, mataa ya kamata kariakooo nao wanakamata asubuhi kuelewana baada ya saa moja na zaidi, baada ya daraja la veta asubuhi mchezo ni huoo huoo kukamata na kumuweka boda na abiria wake wachelewe...
Hili suala ni kero kubwa kwa bodaboda na wananchi wanaotegemea bodaboda kuendesha maisha yao..