Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Amina kyombo anahistoria ya fungiwaHamna mpira hapa
Its well know . Tumia akili sio kifunikio cha shingoMnakuwaga na miemko ya kijinga! Refa anachezesha vizuri nyie vinyeo vinawatanuka mnataka mpigwe mtalimbo.
Rushwa za waziHoja nzuli sana
NkwelRushwa za wazi
Huyu demu nii....Rushwa tunaona kwenye hii ya singida na simba . Inaenda kushusha adhi ya ligi yetu . Refa asipochukuliwa amna maana ya kuwa ligi bora .
Shameful shameful shameful , tunaomba huyu refa achunguzwe rushwa . Ligi inakuwq kama ligi ya kenya . Fifa wataishusha .
Yellow card
Simba 0 singida 7
Refa anahistoria ya kufungiwa katoka kifungoni recently
TFF PIA WAKO CORRUPT . Change in needed , tusipo ona changes nakusanya watu tuandike email fifa with evidence of corruption
Huwa nawaambia hayo matimu yenu ya Yanga na Simba ndio yanaharibu Ligi ya Tanzania maana yababebwa na sio uwezoRushwa tunaona kwenye hii ya singida na simba . Inaenda kushusha adhi ya ligi yetu . Refa asipochukuliwa amna maana ya kuwa ligi bora .
Shameful shameful shameful , tunaomba huyu refa achunguzwe rushwa . Ligi inakuwq kama ligi ya kenya . Fifa wataishusha .
Yellow card
Simba 0 singida 7
Refa anahistoria ya kufungiwa katoka kifungoni recently
TFF PIA WAKO CORRUPT . Change in needed , tusipo ona changes nakusanya watu tuandike email fifa with evidence of corruption
mechi inanuka rushwa shameful 🚮🚮Huwa nawaambia hayo matimu yenu ya Yanga na Simba ndio yanaharibu Ligi ya Tanzania maana yababebwa na sio uwezo
Rushwa tunaona kwenye hii ya singida na simba . Inaenda kushusha adhi ya ligi yetu . Refa asipochukuliwa amna maana ya kuwa ligi bora.
Najaribu kuielewa offside ya lile Goli walilofunga Singida na kukataliwa bado sielewi[emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Utapata kiharusi bure mpira ni mchezo wa wazi siyo ngono kuwa majifungia wawili chumbaniRushwa tunaona kwenye hii ya singida na simba . Inaenda kushusha adhi ya ligi yetu . Refa asipochukuliwa amna maana ya kuwa ligi bora.
Shameful shameful shameful, tunaomba huyu refa achunguzwe rushwa . Ligi inakuwq kama ligi ya kenya . Fifa wataishusha .
Yellow card
Simba 0 singida 7
Refa anahistoria ya kufungiwa katoka kifungoni recently
TFF PIA WAKO CORRUPT . Change in needed , tusipo ona changes nakusanya watu tuandike email fifa with evidence of corruption
View attachment 2713914
TFA tena mbona nane nane tushamaliza kule Mbeya?Kwa hiyo unataka sisi maafisa wa TFA tule wapi???
Asante nimerekebishaTFA tena mbona nane nane tushamaliza kule Mbeya?