Rushwa kwa marefa, TFF mpo wapi?

Rushwa kwa marefa, TFF mpo wapi?

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Rushwa tunaona kwenye hii ya singida na simba. Inaenda kushusha adhi ya ligi yetu. Refa asipochukuliwa amna maana ya kuwa ligi bora.

Shameful shameful shameful, tunaomba huyu refa achunguzwe rushwa . Ligi inakuwq kama ligi ya kenya . Fifa wataishusha.

Yellow card
Simba 0 singida 7

Refa anahistoria ya kufungiwa katoka kifungoni recently

TFF PIA WAKO CORRUPT . Change in needed , tusipo ona changes nakusanya watu tuandike email fifa with evidence of corruption

1691692144968.png
 
Marefa wa Tanzania siyo rushwa, uwezo mdogo tu.
 
Rushwa tunaona kwenye hii ya singida na simba . Inaenda kushusha adhi ya ligi yetu . Refa asipochukuliwa amna maana ya kuwa ligi bora .

Shameful shameful shameful , tunaomba huyu refa achunguzwe rushwa . Ligi inakuwq kama ligi ya kenya . Fifa wataishusha .

Yellow card
Simba 0 singida 7

Refa anahistoria ya kufungiwa katoka kifungoni recently

TFF PIA WAKO CORRUPT . Change in needed , tusipo ona changes nakusanya watu tuandike email fifa with evidence of corruption
Huyu demu nii....
 
Huwa nawaambia hayo matimu yenu ya Yanga na Simba ndio yanaharibu Ligi ya Tanzania maana yababebwa na sio uwezo
 
Simu moja tu imetoka ikulu kutoa maelekezo kuwa ni lazima Simba ishinde.
 
Najaribu kuielewa offside ya lile Goli walilofunga Singida na kukataliwa bado sielewi[emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Rushwa tunaona kwenye hii ya singida na simba . Inaenda kushusha adhi ya ligi yetu . Refa asipochukuliwa amna maana ya kuwa ligi bora.

Shameful shameful shameful, tunaomba huyu refa achunguzwe rushwa . Ligi inakuwq kama ligi ya kenya . Fifa wataishusha .

Yellow card
Simba 0 singida 7

Refa anahistoria ya kufungiwa katoka kifungoni recently

TFF PIA WAKO CORRUPT . Change in needed , tusipo ona changes nakusanya watu tuandike email fifa with evidence of corruption

View attachment 2713914
Utapata kiharusi bure mpira ni mchezo wa wazi siyo ngono kuwa majifungia wawili chumbani
 
Kwa hiyo unataka sisi maafisa wa TFF tule wapi???
 
Back
Top Bottom