Rushwa tunaona kwenye hii ya singida na simba . Inaenda kushusha adhi ya ligi yetu . Refa asipochukuliwa amna maana ya kuwa ligi bora.
Shameful shameful shameful, tunaomba huyu refa achunguzwe rushwa . Ligi inakuwq kama ligi ya kenya . Fifa wataishusha .
Yellow card
Simba 0 singida 7
Refa anahistoria ya kufungiwa katoka kifungoni recently
TFF PIA WAKO CORRUPT . Change in needed , tusipo ona changes nakusanya watu tuandike email fifa with evidence of corruption
View attachment 2713914