princeNathan
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 312
- 632
Noma sana, kwa maoni yako Mkuu tunawezaje kudeal na hili?Tatizo la Tanzania sio rushwa ya uchaguzi ni RUSHWA KWENYE KILA KITU.
Nyuki wamekimbia uzi bana😂🤣🤣🤣 kama hawaoni vile. Nabubujikwa machozi ya huzuni🤣😆😆
Watanzania wengi hawapendi rushwa Lissu leo ni mashuhuri sababu moja wapo ni kupinga rushwa. Serikali ni lini tumeona kiongozi yeyote ana kesi ya rushwa. Yaani kila mahali ukienda ni rushwa lakini tatizo hao viongozi kwanza hawajachaguliwa na wananchi pili wenyewe ni wala rushwaNoma sana, kwa maoni yako Mkuu tunawezaje kudeal na hili?
😂😂 akaribie ulingoni
Nimetingwa na shughuli za shambani kwa sasaMje hapa nyuki wa mama msijifanye hamuoni huu mjadala Lucas Mwashambwa ChoiceVariable chiembe Tlaatlaah johnthebaptist
Nimetingwa na shughuli za shambani kwa sasa
😎 unalima nini usiku huu mzee wa mbubujikoNimetingwa na shughuli za shambani kwa sasa
unamuonea Lucas bure huyo ni kuzi wa juzi kama sio sisimizi.Shambani gani la usiku we baba?
Au uko Marekani?
Point MkuuTuwaombe TAKUKURU wajitokeze kujibu tuhuma za Rushwa katika vyama vya siasa maana kumekuwa na malalamiko mengi..
Wanasiasa wa vyama vyote wanajinasibu kupinga rushwa lakini wakati huo huo ndio watoaji na wapokeaji rushwa, refer uchaguzi wa ndani wa vyama vya siasa ikiwa ni pamoja na CDMTuwaombe TAKUKURU wajitokeze kujibu tuhuma za Rushwa katika vyama vya siasa maana kumekuwa na malalamiko mengi..
Wapo viongozi wamewahi kushtakiwa kwa rushwa, Mramba aliyewahi kuwa waziri wa fedha. Lakini pia ukiingia kwenye website ya Mahakama ya mafisadi zipo kesi zinazoendelea na zilizowahi kutolewa maamzi ingawa swala la kupambana na rushwa kwa viongozi wa kubwa wa kiafrika ni kazi ngumu, refer kilichotokea wakati ule Afrika kusini mpaka iliyokuwa TAKUKURU ya kule ikafutwa ni kwasababu iligusa maslahi ya wakubwa wa kuleWatanzania wengi hawapendi rushwa Lissu leo ni mashuhuri sababu moja wapo ni kupinga rushwa. Serikali ni lini tumeona kiongozi yeyote ana kesi ya rushwa. Yaani kila mahali ukienda ni rushwa lakini tatizo hao viongozi kwanza hawajachaguliwa na wananchi pili wenyewe ni wala rushwa
Yaani unaongelea viongozi wa Mkapa ambaye alikuwa Raisi kuanzia 1995-2005 miaka mingapi imepita! 20!!. Leo hii kuna rushwa yakunuka nani kafikishwa mahakamaniWapo viongozi wamewahi kushtakiwa kwa rushwa, Mramba aliyewahi kuwa waziri wa fedha. Lakini pia ukiingia kwenye website ya Mahakama ya mafisadi zipo kesi zinazoendelea na zilizowahi kutolewa maamzi ingawa swala la kupambana na rushwa kwa viongozi wa kubwa wa kiafrika ni kazi ngumu, refer kilichotokea wakati ule Afrika kusini mpaka iliyokuwa TAKUKURU ya kule ikafutwa ni kwasababu iligusa maslahi ya wakubwa wa kule
Kwani mahakama ya mafisadi ilianzishwa wakati wa Mkapa?Yaani unaongelea viongozi wa Mkapa ambaye alikuwa Raisi kuanzia 1995-2005 miaka mingapi imepita! 20!!. Leo hii kuna rushwa yakunuka nani kafikishwa mahakamani
Mafisadi hawawezi kuzuia mafisadi. Yaani mahakama ya rushwa ndiyo inaongoza kwa rushwa!!!!. Raisi hayupo serious na rushwa na hajali huo ndiyo ukweli. Nyie mkisubiria wapinzani pekee nchi yetu mtabaki na mifupa tuKwani mahakama ya mafisadi ilianzishwa wakati wa Mkapa?
Ndio maana nikasema swala la kupambana na rushwa ni la utashi wa kiongozi wa juu, vinginevyo rushwa itaendelea na mtaendelea kuwalaumu TAKUKURU. kwa mfano katika mswada wa marekebisho ya sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa ya 2023 TAKUKURU ilipendekeza itungwe sheria ya kuifanya kuwa Taasisi huru na DG asiteuliwe na Rais na pia isiwe chini ya Ofisi ya Rais lakini Serikali ilikataa na kile kifungu kikaondolewa, sasa jiulize Serikali inaogopa nini? Je hapo kuna nini kimejifichaYaani unaongelea viongozi wa Mkapa ambaye alikuwa Raisi kuanzia 1995-2005 miaka mingapi imepita! 20!!. Leo hii kuna rushwa yakunuka nani kafikishwa mahakamani