T tripof JF-Expert Member Joined Apr 2, 2024 Posts 829 Reaction score 1,120 May 2, 2024 #1 Nimemsikiliza Lissu akikemea Rushwa ya uchaguzi wa ndani Chadema akiwa Iringa na kisha akatoa tahadhari ya pesa iliyopenyezwa kutoka nje ya mfumo, je hili limekaaje,hebu tutafakari pamoja alikusudia nini?
Nimemsikiliza Lissu akikemea Rushwa ya uchaguzi wa ndani Chadema akiwa Iringa na kisha akatoa tahadhari ya pesa iliyopenyezwa kutoka nje ya mfumo, je hili limekaaje,hebu tutafakari pamoja alikusudia nini?
Kashaulo JF-Expert Member Joined Jun 14, 2019 Posts 2,936 Reaction score 4,947 May 2, 2024 #2 Tunajua pesa zilikotoka.
D dndagula JF-Expert Member Joined Jul 24, 2016 Posts 1,602 Reaction score 1,650 May 3, 2024 #3 wapi zinapotoka pesa za kuchafua CDM mwaka huu mtaangukia pua. uchaguzi wa ndani hautawaacha salama.