mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Kwa CAG?How mkuu.?Hizo sio rushwa mzee. Hujakutana na rushwa za kutisha kwa CAG na kila mtu kimya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa CAG?How mkuu.?Hizo sio rushwa mzee. Hujakutana na rushwa za kutisha kwa CAG na kila mtu kimya.
Hapana.magufuli alikataa kuwa mnafiki kama wewe na mleta mada.
Kivipi mkuu?Huko ndiyo kuna upigaji haswa
Anaetoa na kupokea wote mang'ana...Habari wanakamati?
Naomba kuuliza kaswali kadogo tu.
Hivi nchi hii ya Tanzania rushwa si kosa tena? Polisi kwenye vituo vyao wako busy kuchukua rushwa bila haya. Barabarani pia wanachukua rushwa kwa bodaboda, watu wa bajaji na daladala kweupe.
Ukitaka kuhakikisha haya panda daladala ujionee. Traffic Police anasimamisha gari na wala halitazami gari alilolisimamisha zaidi ya ku negotiate na dereva au konda.
Kuna center moja hapa Dar traffic wana ratiba maalum. Wanaanza kupiga pesa kwenye daladala, kisha private car, kisha bajaji, halafu bodaboda na kumaliza na magari ya mizigo.
Hili fupa kila awamu limewashinda.. Na kayafa ndio alipalilia na kulitilia mbolea kabisa.. Yaani daladala kutoa ni sehemu ya hesabu ya sikuHabari wanakamati?
Naomba kuuliza kaswali kadogo tu.
Hivi nchi hii ya Tanzania rushwa si kosa tena? Polisi kwenye vituo vyao wako busy kuchukua rushwa bila haya. Barabarani pia wanachukua rushwa kwa bodaboda, watu wa bajaji na daladala kweupe.
Ukitaka kuhakikisha haya panda daladala ujionee. Traffic Police anasimamisha gari na wala halitazami gari alilolisimamisha zaidi ya ku negotiate na dereva au konda.
Kuna center moja hapa Dar traffic wana ratiba maalum. Wanaanza kupiga pesa kwenye daladala, kisha private car, kisha bajaji, halafu bodaboda na kumaliza na magari ya mizigo.
Hawa jamaa siku akipatika mtu kubuni mfumo wa kuwadhibiti itabidi apewe tuzo , na makonda,pia walisha furaia kamchezo Yani dereva akisimamishwa gari inasima atua Kama 6 mbele ya askari then chochote kinakunjwa kwenye karatasi Kama msuba wa bangi au kitabu Cha risit au kwenye KADI ya gariHabari wanakamati?
Naomba kuuliza kaswali kadogo tu.
Hivi nchi hii ya Tanzania rushwa si kosa tena? Polisi kwenye vituo vyao wako busy kuchukua rushwa bila haya. Barabarani pia wanachukua rushwa kwa bodaboda, watu wa bajaji na daladala kweupe.
Ukitaka kuhakikisha haya panda daladala ujionee. Traffic Police anasimamisha gari na wala halitazami gari alilolisimamisha zaidi ya ku negotiate na dereva au konda.
Kuna center moja hapa Dar traffic wana ratiba maalum. Wanaanza kupiga pesa kwenye daladala, kisha private car, kisha bajaji, halafu bodaboda na kumaliza na magari ya mizigo.
Hela ya kubrash viatu, aliwahi kusikika kiongozi mmoja wa wanyonge.Habari wanakamati?