Rushwa ni halali Tanzania? Askari wa barabarani wanachukua rushwa bila kificho wala hofu

magufuli alikataa kuwa mnafiki kama wewe na mleta mada.
Hapana.

Magufuli alikuwa mnafiki in chief Tanzania.

Mtu anayekwambia hataki rushwa halafu hapo hapo anasema trafiki kuchukua rushwa ni sawa, ni hela ya kupiga brashi viatu tu, huyo kama si mnafiki ni nani?
 
Anaetoa na kupokea wote mang'ana...
 
Faini imekuwa ni kitega uchumi siku hizi,, Maaskari wanakula humohumo na serikali imefanya chanzo cha mapato.
 
Dawa ya rushwa za polisi ni kuwahamisha barabarani na kuanzisha special points za road inspection kupunguza standing points
 
Hili fupa kila awamu limewashinda.. Na kayafa ndio alipalilia na kulitilia mbolea kabisa.. Yaani daladala kutoa ni sehemu ya hesabu ya siku
 
Hawa jamaa siku akipatika mtu kubuni mfumo wa kuwadhibiti itabidi apewe tuzo , na makonda,pia walisha furaia kamchezo Yani dereva akisimamishwa gari inasima atua Kama 6 mbele ya askari then chochote kinakunjwa kwenye karatasi Kama msuba wa bangi au kitabu Cha risit au kwenye KADI ya gari


Kifuatacho konda anachomoka Kama mshale mfuata askari yuma ya gari na mchezo unamalizwa , alafu mwendo au askari atajifanya ingia ndani ya gari akiwa na lugha lain,maana tiyari ana kilainisho mfukoni ,jamaa Wanapiga pesa nzuri Sana Yani kwa kifupi
 
Hela ya kubrash viatu, aliwahi kusikika kiongozi mmoja wa wanyonge.
 
Waliambiwa wachukue buku 5 ya kubrash viatu, mama kapiga mwingi mpaka anajipiga madoba.
 
Mara papuuu,Botswana traffic officers wameingia nchini na ndio wanao control hizi barabara zetu,yaani itakua raha na yanayoandikwa kwenye mada hii yatakua history!!barabarani bila rushwa inawezekana mbona wenzetu wameweza?wako veryfriendly na ukiwa na tatizo wanakuelimisha ili kile tatizo lisijirudie tena!
 
Wana Baraka Zote Za Ccm πŸ˜πŸ™„πŸ˜ΆπŸ˜‘πŸ˜πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…