Sijui tufanyaje ili kuepuka hili. Inakuwa ni kitu cha kawaida kupokea rushwa kwa askari wetu. Hivi haki itatendeka vipi?Tolitoa ushauri kuwa check point ziwe rasmi na zifungwe cctv cameras, lakini kwakuwa wahusika wananeemekea kwenye rushwa kamwe hawatalifanya hilo
Uko sahihi kwa 100%! Hiyo barabara ya Dodoma Iringa, Askari wa usalama barabarani wanaendekeza sana vitendo vya rushwa. Na hasa wale wa Mkoa wa Iringa!Jana nilikuwa safarini mkoa wa Iringa. Njiani, ukipita Igingilanyi kwa mbele kuna askari polisi wawili walikuwa wanavizia magari yanayokwenda spidi wakiwa wameficha gari yao aina ya spacio.
Nilichoona ni kwamba mabasi yanapita kasi huku wakidondosha pesa. Hii ni aibu. Kuna haja ya kubadilika. Yale magari na mwendo ule yamebeba watu na wasimamizi wa sheria wanaona kawaida.
Wapewe maslai ya kibunge awatopokea rushwaSijui tufanyaje ili kuepuka hili. Inakuwa ni kitu cha kawaida kupokea rushwa kwa askari wetu. Hivi haki itatendeka vipi?
Huyo mnyongaji nae atapewa rushwa atatulia.Bongo KILA sheria ni fursa ugeuzwa dili sehemu ya kupigia kipato.Ukiona mtu kahukumiwa kuna mawili either hana pesa au ananyooshwa.Rushwa nchi hii haiwezi ondoka
Labda itungwe sheria ya kunyongwa
Mtu akipatikana anatoa/kupokea rushwa
Ova
Hili nilishuhudia kama ulivyosema safari ni ndefu. Tulipita eneo husika tukamkuta askari anagombana na Dereva fulani. Huenda huyo askari ni cha pombe alikuwa anaongea kingereza hovyo hovyo.Sasa wewe ujifanye unayafata nyuma hayo mabasi unashindana nayo... Ndo utajua hujui [emoji3][emoji3]
Akipatikana IGP mwenye hofu ya Mungu labda haki itatendekaSijui tufanyaje ili kuepuka hili. Inakuwa ni kitu cha kawaida kupokea rushwa kwa askari wetu. Hivi haki itatendeka vipi?