Lissu akiwa Iringa alilaumu na kukemea Rushwa iliyotapakaa CDM kutokea CCM yeye akimsema Mama Abdul na kuwa ndiye chimbuko la tatizo Kwa kauli yake. Rushwa hiyo ikielekea Chadema na kuwa hali imechafuka.
Kwangu mie ni onyo zuri lililojaa uadilifu na hekima,naomba yeye Lissu na wengine wanisaidie kupata suluhisho ya hili.
Je, tushughulike na rushwa inakotoka - The Supply side au tushughulike na The demand side inakohitajika. Nani mbaya zaidi?kati ya hawa wawili, au ni wote? ili tuiondoe. Tujadili bila itikadi.