Rushwa ya ngono kwa walimu vyuoni

Rushwa ya ngono kwa walimu vyuoni

MT na wewe ni mhadhiri nini! Hapa mada sio kutongoza bali kuomba rushwa ya ngono. Ukifikiria kidogo tu zaidi ya pale ulipofikiria awali, utagundua kuna tofauti kati ya kumtongoza mwanafunzi na kumwomba ngono ili usimkamate katika somo lako.

Wewe nadhani ndio hujui tofauti kati ya kutongoza na kumuomba mtu ngono. Ikumbuke kuomba rushwa ya ngono ni kutongoza pia kwani mtu anaweza akakubali au akakataa. Unaweza ukamtongoza mtu akupe ngono kwa kumuahidi kumpenda daima, kumnunulia gali, kumuoa au kumfaulisha mitihani. Hivyo kumuomba mtu rushwa ya ngono ni kutongoza pia
 
Hakuna zaidi ya upumbavu na ulimbukeni wa wasomi wa kibongo.
 
Appeal itasaidia kupata marks zako, na vipi kama unataka kukomesha na tabia ya mhadhiri unafanyaje?

Unamripoti kwa mkuu wake wa kazi, eg DVC (Kama una ushahidi wa kutosha). Pia waweza kuwasiliana na TCU, au waziri mwenye dhamana
 
Wewe nadhani ndio hujui tofauti kati ya kutongoza na kumuomba mtu ngono. Ikumbuke kuomba rushwa ya ngono ni kutongoza pia kwani mtu anaweza akakubali au akakataa. Unaweza ukamtongoza mtu akupe ngono kwa kumuahidi kumpenda daima, kumnunulia gali, kumuoa au kumfaulisha mitihani. Hivyo kumuomba mtu rushwa ya ngono ni kutongoza pia

Nakubaliana na wewe kila unapoomba rushwa ya ngono UNATONGOZA. Lakini si kila unapotongoza UNAOMBA RUSHWA YA NGONO. Kuna tofauti kubwa hapo. Unapomwahidi mwanamke kumpenda au kumwoa sio rushwa.
 
Nakubaliana na wewe kila unapoomba rushwa ya ngono UNATONGOZA. Lakini si kila unapotongoza UNAOMBA RUSHWA YA NGONO. Kuna tofauti kubwa hapo. Unapomwahidi mwanamke kumpenda au kumwoa sio rushwa.
Hapa tumeenda pamoja, ndiyo uzuri wa JF
 
nitadisco vipi na hali marks zangu zimerejeshwa na mhadhiri nimemripoti kunakohusika kama alivyoshauri HP1?

..ok! Go in peace SON/DAUGHTER..all the best..
Ule msemo wasemaje..''akili za kushauriwaa...'' !!??
 
Mbona hiyo tabia iko karibu vyuo vyote vya bongo... yeyote aliyepitia vyuo vya juu anajua huo mchezo wa walimu tena usiombe mwalimu ampende girlfriend wako utapata september confrence hadi ushangae...

usha zeeka wewe , utakuwa ni "shakamoo jazi" hivi unadhani bado inaitwa september conference tena, tuulize bongo flava tukwambie yaitwa nini siku izi.
 
ni nyege tu za kawaida.
mhadhiri kutamani mwanafunzi, wabinti wanavyopendeza ivi unadhani wahadhiri hawana hisia?

Wahadhiri wenyewe siku hizi ni vijana,hicho ni kitu cha kawaida!au wenyewe si wanaume na hawana hisia?ww mwenyewe uliyeanzisha thread huna hisia?
 
Ila wanafunzi wa siku izi jamani na izi pamba wanazopiga mwalimu jasiri aliyekamilika ana haki ya kuufukuzia mzigo yaani wako Wadada wako sokoni zaidi kuliko masomoni
 
usha zeeka wewe , utakuwa ni "shakamoo jazi" hivi unadhani bado inaitwa september conference tena, tuulize bongo flava tukwambie yaitwa nini siku izi.

Sasa si umwambie tu kuwa yaitwaje kuliko kuanza kumnanga? fanya JF iwe na maana zaidi kwa kuongeza kitu mtoto wa bongofleva.......
 
Wahadhiri wenyewe siku hizi ni vijana,hicho ni kitu cha kawaida!au wenyewe si wanaume na hawana hisia?ww mwenyewe uliyeanzisha thread huna hisia?

Niliyeanzisha sredi hisia ninazo tena kali kwelikweli, ila nazimaliza ma mpenzi wangu ambaye tunapendana. hapa swali ni kwa nini mwalimu aombe rushwa ya ngono? huyu mwalimu kumbuka ana mke nyumbani wa kutimizia hisia zake. Nini kinapelekea hadi amfelishe mtoto wa watu kwa sababu tu analazimisha kula mzigo?
 
Siku hizi mabinti wakifel tu wanasingizia wahadhir!utakuwa mmojawapo
 
Back
Top Bottom