Rushwa ya ngono kwa walimu vyuoni

Sawa mhadhiri, lakini mbona wahadhiri wa kike hawalazimishi ngono na wanafunzi wa kiume?

Mi siyo mhadhir,lkn nimepita chuo nliona watoto wa kike walivyokuwa wanajilegeza kwa wahadhir,cjui ndo kuwashwa
 
Mi siyo mhadhir,lkn nimepita chuo nliona watoto wa kike walivyokuwa wanajilegeza kwa wahadhir,cjui ndo kuwashwa

wajilegeze wapi? wahadhiri ndio manyang'au wanatumia janja ya kalamu kuwananiliu watoto wa wenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…