KERO RUSHWA YA NGONO LIMEKUA RATIZO SANA

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

The Vergams

New Member
Joined
Apr 9, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Wadau habari ya muda Mimi ni kijana wa miaka 24 Niko hapa kuomba ushauri wenu na mawazo pia.
Kimuonekano Mimi ni mrefu Nina urefu wa cm 187 pia Mimi ni mkimya sasa baada ya kumaliza masomo yangu nimerudi nyumbani kwanza ili kuweka Mambo yangu sawa sasa Kuna mama mmoja ana cheo serekalini na siwezi kutaja kazi hapa.
Nilienda kumuomba uyu mama anisaidie at least kupitia yeye basi nipate nafasi uko alipo kwasababu naipenda kazi anayoifanya sasa uyu mama na mama yangu ni watu wa karibu yani ni kama ndugu sasa ananiambia nitoke naye kimapenzi lakini Mimi nafsi inanisuta kwasababu ni mtu mzima lika lake ni sawa na Mama yangu!!!
Na ameniaidi vitu vingi lakini kilanilifikiria kulala naye moyo wangu unakataa kabisa na isitoshe ana watoto wake ambao wananipita ata Mimi umri na kingine Nina mueshimu sana yani nimefanya kila mbinu lakini anielewi wiki iliyopita amenipigia simu ananiambia nifanye maamuzi kabla ajabadirisha mawazo.
Hii inaniuma sana kwasababu sio mara ya kwanza vitu kama hivi kunitokea kunasehemu pia niliomba kazi nikakosa kwasababu nilikataa kulala na mmama mwenye umri sawa na Mama yangu Yani kiufupi ata sijui nifanye nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…