Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli hili ni tatizo.Lakini kitu kinachonishangaza sana ni hao wanawake wanaofanyiwa ujinga huu wanakaa kimya hawafichui ushenzi huu ili wahusika washikishwe adabu. Ni woga au aibu jamani? Naomba Lizzy, Kongosho na wengineo wachangie hiliKuna mkuu wa shule moja inayomilikiwa na kanisa maarufu maeneo ya katiti arusha hawezi kumwajiri mwl. Wa kike hadi afanye nae tendo la ndoa, inasikitisha sana ukizingatia shule yenyewe inamilikiwa na taasisi ya kidini
Mtoa mada naye amekuwa muoga au aibu sijui? Shule moja ndo shule gani? Mwaga kila kitu hapaKweli hili ni tatizo.Lakini kitu kinachonishangaza sana ni hao wanawake wanaofanyiwa ujinga huu wanakaa kimya hawafichui ushenzi huu ili wahusika washikishwe adabu. Ni woga au aibu jamani? Naomba Lizzy, Kongosho na wengineo wajibu