Rushwa ya ngono vyuoni

Rushwa ya ngono vyuoni

Ni kweli mkuu. Hasa wale malecturer wa Masomo magumu yenye Mathematics huwa wanafaidi sana. Ila hata mi ningekuwa Ticha lazima ningetafuna sana.
 
Ikumbukwe kwamba popote penye wengi pia kuna mengi. Mtoa mada na wachangiaji wengine wamesema yao kwa jinsi wanavyojua wao. Kiukweli hii ni tabia ambayo ipo kwa baadhi ya wadhiri na wanafunzi wachache sana ambao maadili kwao ni msamiati. Both lecturers and female students should adhere to ethics and obey their God.
 
Back
Top Bottom