Ikumbukwe kwamba popote penye wengi pia kuna mengi. Mtoa mada na wachangiaji wengine wamesema yao kwa jinsi wanavyojua wao. Kiukweli hii ni tabia ambayo ipo kwa baadhi ya wadhiri na wanafunzi wachache sana ambao maadili kwao ni msamiati. Both lecturers and female students should adhere to ethics and obey their God.