Rushwa yatawala SGR Mwanza

Rushwa yatawala SGR Mwanza

Amaizing Mimi

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2019
Posts
489
Reaction score
1,102
Habari za muda huu wanajukwaa.

Moja kwa moja naomba niende kwenye mada. Katika mradi wa SGR katika kituo cha Fela katika wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, kumekuwa na tabia ya mafomeni kupokea rushwa ili kuwapa kazi watu ambao wapo nje ya kampuni.

Kitendo hicho kimepelekea watu kufukuzwa kazi kila kukicha ili kuwapa kazi watu wanaotoa hela. Mafomeni wanaoongoza ni masai na mtanga. Mafomeni hawa ni wa kampuni ya CCECC.

Kila siku watu wanapunguzwa bika sababu za msingi na hawalipwi stahiki zao.Tunaomba mamlaka zinazohusika kuingilia kayi ili kutunusuru maana hali imekuwa mbaya sana.
 
Kumfukuza mtu kazi tu bila sababu ya msingi ni uonevu mbaya sana. Kazi ndio maisha halafu unamfukuza. Fikiria iyo chain utakoyoathiri. Huyo Masai na Mtanga siku zao zina hesabika.
 
Back
Top Bottom