rushwa yawa ugojwa sugu

rushwa yawa ugojwa sugu

Mpaligogo

Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
27
Reaction score
1
Watanzania wenzagu tunapo zungumzia mishahara midogo hali ya maisha ni ngumu. Ndio tunatoa mwanya wa maeneo kama afya.usalama.huduma mbalimba za kijamii kupokea rushwa kama njugu? Au huu umekuwa ni utamaduni wa kuigwa na kila anae ingia? Wana jf nisaidieni
 
Mkuu, peleka jukwaa husika hapa si mahala pake.
 
Back
Top Bottom