Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Mikia FC.hizo hela mlizohonga kwa kina sureboy na mabeki wa azam na refa si mngewapunguzia kina juma abdul? wanatia huruma mtaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikia FC.hizo hela mlizohonga kwa kina sureboy na mabeki wa azam na refa si mngewapunguzia kina juma abdul? wanatia huruma mtaani
piga wewe fifa maana kuna mwaka mlipeleka barua ya kudai kombe fifa. Safari hii pigeni simu. Alafu kile kihoja chenu cha kitoto cha kubadilishiwa waamuzi caf kiliishia wapi???matokeo halali ni 1-1 goal halali lilikataliwa,imagine ingekuwa ni simba vs azam goal likakataliwa pangewaka moto leo mtandaoni zahera angepiga simu hadi makao makuu ya Caf
[emoji3][emoji23]Mikia jinsi walivyopokea matokeo ya Wananchi leoView attachment 1084155
matokeo halali ni 1-1 goal halali lilikataliwa,imagine ingekuwa ni simba vs azam goal likakataliwa pangewaka moto leo mtandaoni zahera angepiga simu hadi makao makuu ya Caf
Nakukumbusha Matokeo ya Azam na Young Africans SC, Mpira ulimzalika kwa Azam FC kufungwa 1-0 , goli la Mrisho Ngassa dakika ya 13. Utapata ujira wako kwa kuendeleza majungu!