Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,371
Used sana huyo dada! Hata wavuzi wa samaki Mwanza wametafuna huyo! Russel asijisifu na kitu ilo kwenda mileage kibao
Masa hata huyo babu mwenyewe kwa umri huo atakuwa 'used' sana tu tena zaidi ya huyu binti....
Mwanaume hawi used wewe!
mnatumika sana tu
siku hizi mwendo 'kutumiana' tu.........
Machine hata haifungi tena huyo labda utumie na manati!
hahaaaa kwani ya russel mpaka ikazwe kwa screws lol
Unapenda mashindano ya Kombe la Kinesi eeehhh!
kumbe tunashindana?? mi sijajuaga....
nyie mnapenda sana kutuonea
mara mileage imeenda sana, mara kicheche, maharage ya mbeya, katumika sana. eeeeeeeeeh jamani
kufanya tunafanya na nyie iweje sisi tu ndo we end up being named??
hapo ndipo wanaponishindaga viumbe hawa.....na tukiamua tusifanye nao ili tusisogeze mileage wanatubaka...viumbe hawana haya hawa sijapata kuona
hapo ndipo wanaponishindaga viumbe hawa.....na tukiamua tusifanye nao ili tusisogeze mileage wanatubaka...viumbe hawana haya hawa sijapata kuona
Huyo Russel mbona kama ni kibabu vile? Au macho yangu tu?
mkuu hiyo iko wazi celebrity wetu mpaka apate jina unakuta mileage kibao zimetembea,ila haka kadada katulivu kiaina bana mi nakazimia na kengine irene kiwia,kidogo vina ustaarabu.Used sana huyo dada! Hata wavuzi wa samaki Mwanza wametafuna huyo! Russel asijisifu na kitu ilo kwenda mileage kibao
hako ni kababu shem sema bata zinafanya kaonekana kama kanadai.uzee uko wapi hapo Masaki??
mkuu hiyo iko wazi celebrity wetu mpaka apate jina unakuta mileage kibao zimetembea,ila haka kadada katulivu kiaina bana mi nakazimia na kengine irene kiwia,kidogo vina ustaarabu.
hapa kuna kaukweli kiivyo sie nae mtuite mikangafu.kumbe tunashindana?? mi sijajuaga....
nyie mnapenda sana kutuonea
mara mileage imeenda sana, mara kicheche, maharage ya mbeya, katumika sana. eeeeeeeeeh jamani
kufanya tunafanya na nyie iweje sisi tu ndo we end up being named??
unisaidie kuwa shangaaa
ubaya unakujaje kwetu tu........
wa kwetu underlined imenikumbusha ile miziki ya mwambao (hivi kwetu siku hizi naskia kuna meli ya kwenda songea)
hako ni kababu shem sema bata zinafanya kaonekana kama kanadai.