Russell Simons is DATING Flaviana Matata?

ahahahahahaaa...BABUUUUUUU (russel)...mpe mjukuu malezi..tehetehetehe....NA WEWE MJUKUU MTUNZE VIZURI BABU YAKO...USIKIMBILIE VIJISENTI VYAKE UKAISHIA KUMUUA KWA MIPRESHA NA MI-STROKE YA UZEENI...
 
Used sana huyo dada! Hata wavuzi wa samaki Mwanza wametafuna huyo! Russel asijisifu na kitu ilo kwenda mileage kibao

Masa hata huyo babu mwenyewe kwa umri huo atakuwa 'used' sana tu tena zaidi ya huyu binti....
 
Unapenda mashindano ya Kombe la Kinesi eeehhh!

kumbe tunashindana?? mi sijajuaga....

nyie mnapenda sana kutuonea
mara mileage imeenda sana, mara kicheche, maharage ya mbeya, katumika sana. eeeeeeeeeh jamani

kufanya tunafanya na nyie iweje sisi tu ndo we end up being named??
 
Huyo Russel mbona kama ni kibabu vile? Au macho yangu tu?
 
kumbe tunashindana?? mi sijajuaga....

nyie mnapenda sana kutuonea
mara mileage imeenda sana, mara kicheche, maharage ya mbeya, katumika sana. eeeeeeeeeh jamani

kufanya tunafanya na nyie iweje sisi tu ndo we end up being named??

hapo ndipo wanaponishindaga viumbe hawa.....na tukiamua tusifanye nao ili tusisogeze mileage wanatubaka...viumbe hawana haya hawa sijapata kuona
 
Umeishabakwa mara ngapi?
 
hapo ndipo wanaponishindaga viumbe hawa.....na tukiamua tusifanye nao ili tusisogeze mileage wanatubaka...viumbe hawana haya hawa sijapata kuona

unisaidie kuwa shangaaa

ubaya unakujaje kwetu tu........

wa kwetu underlined imenikumbusha ile miziki ya mwambao (hivi kwetu siku hizi naskia kuna meli ya kwenda songea)
 
Used sana huyo dada! Hata wavuzi wa samaki Mwanza wametafuna huyo! Russel asijisifu na kitu ilo kwenda mileage kibao
mkuu hiyo iko wazi celebrity wetu mpaka apate jina unakuta mileage kibao zimetembea,ila haka kadada katulivu kiaina bana mi nakazimia na kengine irene kiwia,kidogo vina ustaarabu.
 
NiPM nikupe data za hako unakokazimia........kwenye nyekundu tupo sawia
 
kumbe tunashindana?? mi sijajuaga....

nyie mnapenda sana kutuonea
mara mileage imeenda sana, mara kicheche, maharage ya mbeya, katumika sana. eeeeeeeeeh jamani

kufanya tunafanya na nyie iweje sisi tu ndo we end up being named??
hapa kuna kaukweli kiivyo sie nae mtuite mikangafu.
 
unisaidie kuwa shangaaa

ubaya unakujaje kwetu tu........

wa kwetu underlined imenikumbusha ile miziki ya mwambao (hivi kwetu siku hizi naskia kuna meli ya kwenda songea)

ha ha ha wahi wakwetu seat bado hazijajaa tuchape zetu mwendo kwenda songea kuna neema kule si unajua siku hizi wanaapolo wapo juu ya mawe nchi imeuzwa
 
hako ni kababu shem sema bata zinafanya kaonekana kama kanadai.

hahahaa i was wondering why is it takinf you so long to comment!!!

shem...muzeee ya maceleb!!! huyo sio babu wala nini, si mashine bado iko sawa sasa uzee unakujaje bana!!!
 
Back
Top Bottom