Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Originally Posted by Masanilo![]()
Used sana huyo dada! Hata wavuzi wa samaki Mwanza wametafuna huyo! Russel asijisifu na kitu ilo kwenda mileage
masanilo be a gentleman...wabongo tuache kuangushana....yaani dada yetu anapata boyfriend alafu kaka mtu unaanza kutangaza .....upuuzi wa zamani ...ooh aliwahu kuwa na mchunga ngombe...mvuvi etc...huo ni ujinga kabisa...nadhani kama ni kweli watu kama nyie hamchelewi kumtumia huyo jamaa yake emails na picha za zamani za flaviana akiwa sitimbi....but reality ni kuwa hakuna mtu ambaye hana PAST.
Mkuu nitakujibu kwasasa nashughulikia tatizo la kitaifa TUCTA na mgomo! Naratibu Mgomo hatuogopi polisi wala askari jela....hadi kieleweke
