Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
- Thread starter
- #21
This is burrying your head in the sand,there is simply no way uchumi ambao ni backed by Fiat Currency unaweza kushindana na uchumi ambao it's currency is backed by Gold mkuu.Mawazo yako yamejengwa kwenye misinformation inayotokana na Western propaganda and lies.Tusubiri,ila mawazo yako yata-crumble right in front of your eyes very soon like a block of ice.Brics haiwezi kuwa na nguvu yoyote, mataifa ambayo yanaunga mkono umoja wao wa kifedha Gold-Backed Currency ni nchi masikini sana, nchi hizo hizo wengi wao wanaitegemea US kwa kila kitu, China, South Africa ni nchi ambazo haziwezi kuhimili hata kwa dakika moja vikwazo vya US,
Soko la mataifa ya Euro na $ , ni kubwa sana na limeekezwa muda mrefu sana nchi nyingi tajiri zinaunga mkono umoja huu ambao ndio unaoendesha dunia kiuchumi, Nchi kama Africa Kusini ambayo yenyewe bado haijaweza kuji- stablize itaweza vipi kuruka vihunzi vya US na kwenda kutegemea upande ambao hauna uhakika ambao umekuzwa na chuki tu za dikteta putin, pia China technologia yake yote aliyonayo baada ya kuekewa vikwazo vya technologia juzi ameiomba US imuondoshee vikwazo unafkiri ni kwa vipi umoja huo fedha utaenda kuiangusha $
Kumbuka kwamba mawazo ya BRICS yalikuwa unthinkable only a few years ago.