Russia deploy S 500 air defence all Nato country coverd

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
‼️ S-500 Anti-aircraft Reach

Russia has deployed S-500 air defense systems in Crimea.

Here are some basic specifications to consider in relation to the S-500:

The S-500 has a 600km range in an anti-ballistic missile role; 500km in an air defense role.

Viewed solely in terms of its anti-aircraft capabilities:

Positioned near Sevastopol, S-500 coverage would encompass everything from Sochi to Donetsk to Dnipro to Bucharest, most of eastern Bulgaria, and all of the Black Sea.

Positioned near Brest (in western Belarus), S-500 coverage would encompass everything from Kiev, all of western Ukraine, parts of Romania, Hungary, Slovakia, most of Poland, parts of the Baltic Sea, all of Kaliningrad, and all of Lithuania.

Put simply, it could menace all aircraft in a huge swath of eastern Europe stretching from the Baltic to the Black Sea
 
Utasikia kesho wakuu wa NATO wameitisha kikao cha dharura ili kujadili namna ya kusonga mbele kufuatia mkwamo unaoenda kuwapiga mwanzo mwisho.

Labda waombe Trump atwae urais Jumanne ijayo.
 
Hayo Machumachuma ya Urusi Chapa 300,400&500 hayajawahi kuwa serious. Rejea vichapo inavyopata Urusi dhidi ya Ukraine pamoja na washirika wake, Iran na Syria toka Israeli. Na hili la Ku Hire North Koreans, kwenye vita vyake na Ukraine, linaonyesha jinsi gani Urusi ni super power wa mchongo 🤔
 
Haya ukimaliza tafuta fagio ufagie sebule umeichafua kwa pop corn na maganda ya karanga matokeo yametoka!
 
Hayo Machumachuma ya Urusi Chapa 300,400&500 hayajawahi kuwa serious. Rejea vichapo inavyopata Urusi dhidi ya Ukraine pamoja na washirika wake, Iran na Syria toka Israeli. Na hili la Ku Hire North Koreans, kwenye vita vyake na Ukraine, linaonyesha jinsi gani Urusi ni super power wa mchongo 🤔
Yangekua dhaifu nadhani Daraja la Crimea lingeshavunjwa.
Uliza linashambuliwa mara ngapi kwa mwezi.
 
Hayo Machumachuma ya Urusi Chapa 300,400&500 hayajawahi kuwa serious. Rejea vichapo inavyopata Urusi dhidi ya Ukraine pamoja na washirika wake, Iran na Syria toka Israeli. Na hili la Ku Hire North Koreans, kwenye vita vyake na Ukraine, linaonyesha jinsi gani Urusi ni super power wa mchongo 🤔
Hivi ni mnafanya kusudi ili mmbishane au ? Anyway bila wajinga maisha yasingekua simple
 
Hayo Machumachuma ya Urusi Chapa 300,400&500 hayajawahi kuwa serious. Rejea vichapo inavyopata Urusi dhidi ya Ukraine pamoja na washirika wake, Iran na Syria toka Israeli. Na hili la Ku Hire North Koreans, kwenye vita vyake na Ukraine, linaonyesha jinsi gani Urusi ni super power wa mchongo 🤔
Mkuu zaurusi unaziita machumachuma vipi kuhusu makopo ya patriot?

Hivi vichapo Israel kapokea kutoka Iran hujaviona? Au iron na patriot ziliisha mafuta?

Unashangaa Urusi kushirikiana na N.Korea mbona hujawai shangaa USA kushirikiana na UK, Ufaransa hata kwenye kanchi kadogo kama Iraq? Au na yeye ni superpower wa mchongo?

Urusi anapigana na NATO yenye mataifa 30 na zaidi pale Ukraine, hamna taifa linanguvu hiyo hata USA mwenye asingeweza.
 
The Russian S-400 Air Defense System deployed in Crimea is just a sitting duck, its presence there will be just like a burning matchstick.
Kama zilivyo patriot pale Israel zilizo chapwa na Iran! Au zile zinazochomwa kama karatasi na mrusi kule Ukraine.
 
The Russian S-400 Air Defense System deployed in Crimea is just a sitting duck, its presence there will be just like a burning matchstick.
Kama zilivyo patriot pale Israel zilizo chapwa na Iran! Au zile zinazochomwa kama karatasi na mrusikule Ukraine.
 
Hivi vichapo Israel kapokea kutoka Iran hujaviona? Au iron na patriot ziliisha mafuta?
Hebu weka hapa hasara alizopata Israel dhidi ya mashambulizi ya Iran. Mimi naweka hasara alizopata Iran kwa mashambulizi ya Israeli. Radar zake zote 4 Chapa S-300, zimelipuliwa, viwanda vya ballistic missiles na drones pia vimelipuliwa 🤔
 
Hii SMO mbona inaenda mbali.Ila US itaingiza Dunia ktk wakati mgumu.
 
Hebu weka hapa hasara alizopata Israel dhidi ya mashambulizi ya Iran. Mimi naweka hasara alizopata Iran kwa mashambulizi ya Israeli. Radar zake zote 4 Chapa S-300, zimelipuliwa, viwanda vya ballistic missiles na drones pia vimelipuliwa 🤔
Usidanganye watu hapa we kijana kuna watu wazima.
Shambulio la Iran lilivunja makazi 100 ya Israel,iliharibu kambi baadhi za jeshi ikiwemo Nevatim airbase,iliharibu magari na kubomoa shule.
Shambulio la Israel kwa Iran hadi sasa hakuna significant damage iliyoonekana maana kambi alizolipua ni jengo tu silaha zote ziko chini za Iran.
Pia radar iliyoharibika ni MOJA TU ya Khomeini airport.

Hivyo usidanganye watu kuna watu wazima humu.
 
Tupe source ya taarifa yako lakini isije ikawa ni ya kutoka masjid ubwabwa kama inavyoonekana.

Mkuu zaurusi unaziita machumachuma vipi kuhusu makopo ya patriot?

Hivi vichapo Israel kapokea kutoka Iran hujaviona? Au iron na patriot ziliisha mafuta?

Unashangaa Urusi kushirikiana na N.Korea mbona hujawai shangaa USA kushirikiana na UK, Ufaransa hata kwenye kanchi kadogo kama Iraq? Au na yeye ni superpower wa mchongo?

Urusi anapigana na NATO yenye mataifa 30 na zaidi pale Ukraine, hamna taifa linanguvu hiyo hata USA mwenye asingeweza.
Sasa hivi tu tayari Russia anasaidiwa vita na askari wa North Korea baada ya maji kuzidi unga bila kusahau kwamba Iran, Syria, China na Belarus wote wanaisaidia Russia.
 
Vitu vingine kama huna uelewa navyo ni bora ukaomba hata msaada ukasaidiwa kuliko kuongea usichokijua. Labda nikuulize, kabla wanajeshi wa Korea Kaskazini kwenda Urusi vipi Ukraine alikuwa amekomboa maeneo mangapi yaliyochini ya Urusi kule Ukraine?
 
Back
Top Bottom