MT255
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 3,606
- 4,914
Ukraine kila siku anapiga crimeaYangekua dhaifu nadhani Daraja la Crimea lingeshavunjwa.
Uliza linashambuliwa mara ngapi kwa mwezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukraine kila siku anapiga crimeaYangekua dhaifu nadhani Daraja la Crimea lingeshavunjwa.
Uliza linashambuliwa mara ngapi kwa mwezi.
Punguza mihemko umeambiwa weka picha na hasara aliyopata Israel punguza maneno mengi kama mudiUsidanganye watu hapa we kijana kuna watu wazima.
Shambulio la Iran lilivunja makazi 100 ya Israel,iliharibu kambi baadhi za jeshi ikiwemo Nevatim airbase,iliharibu magari na kubomoa shule.
Shambulio la Israel kwa Iran hadi sasa hakuna significant damage iliyoonekana maana kambi alizolipua ni jengo tu silaha zote ziko chini za Iran.
Pia radar iliyoharibika ni MOJA TU ya Khomeini airport.
Hivyo usidanganye watu kuna watu wazima humu.
Picha zilishawekwa sana humu.Punguza mihemko umeambiwa weka picha na hasara aliyopata Israel punguza maneno mengi kama mudi
Sasa ameomba msaada Pyongyang wa nini kama alikuwa anaendelea vizuri.Vitu vingine kama huna uelewa navyo ni bora ukaomba hata msaada ukasaidiwa kuliko kuongea usichokijua. Labda nikuulize, kabla wanajeshi wa Korea Kaskazini kwenda Urusi vipi Ukraine alikuwa amekomboa maeneo mangapi yaliyochini ya Urusi kule Ukraine?
Amebomoa Daraja?Ukraine kila siku anapiga crimea