RUSSIA ECONOMY: Ripoti mpya ya World Bank yaidhinisha Russia kuingia kundi la mataifa yenye kipato kikubwa duniani licha ya kuwa vitani na vikwazo

Inawezekana he?!!, Hawa wb Kuna namna tu
 
Matajiri hawako tayari kuona dollar domination system inakufa watafilisika. Mrusi anajaribu kupush imposition ya currency mpy ambayo ita kuwa a principle medium of exchange apart from U.S dollar
 
Matajiri hawako tayari kuona dollar domination system inakufa watafilisika. Mrusi anajaribu kupush imposition ya currency mpy ambayo ita kuwa a principle medium of exchange apart from U.S dollar
Na mwafrika wa shit hole country atafaidika vipi?
 
Mashabiki wengi Pro-Russia ni vilaza sana
 
Ungemalizia tu kwamba, Kwa mujibu wa ripoti hiyo ni West bank na Gaza pekee ndiyo ambazo uchumi wake umeporomoka. Sababu kama ilivyo kwa Russua, Uchumi wa Ukraine pia imepanda kama ripoti inavyosema;

Ukraine too makes a category jump​


Along with Algeria, Iran and Mongolia, Ukraine has moved up from the lower-middle-income to the upper-middle-income category this year:

Ukraine’s upward change in classification resulted from a resumption of economic growth in 2023 (real GDP grew 5.3%, following a drop of 28.8% in 2022) along with a continued decline in population, which has fallen more than 15% since the invasion from Russia began, as per the World Bank.

These factors were further amplified by price increases of domestically produced goods and services to result in a large increase in nominal Atlas GNI per capita of 18.5%. While Ukraine’s economy was significantly impaired by Russia’s invasion, real growth in 2023 was driven by construction activity (24.6%), reflecting a sizable increase in investment spending (52.9%) supporting Ukraine’s reconstruction effort in the wake of ongoing destruction, as per the World Bank.
 
Ulitaka kumaanisha nini?
 
Kwa hiyo shida yako nini? Vp kuhusu tz
 
Vikwazo Huwa havifanyi kazi Kwa Nchi inayojitegemea na ambayo ni superpower Kijeshi.
 
Ujerumani upande wa industrial output imeshuka sana
wako kwenye de-industrialization,....
yani wakati flani huwa nawaza na kutambua kwa sasa dunia imekosa viongozi imara, yani germany kaamua kuua uchumi wake ili kumfurahisha US

sijui US ana dirty gani juu ya ulaya, jamaa (US) anapiga pesa balaa huku wao wakiteseka na kuanguka kwa chumi zao! mambo ya ajabu sana haya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…