Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Ujerumani, Japan ni mataifa ya hovyo sana na kuna South Koreawako kwenye de-industrialization,....
yani wakati flani huwa nawaza na kutambua kwa sasa dunia imekosa viongozi imara, yani germany kaamua kuua uchumi wake ili kumfurahisha US
sijui US ana dirty gani juu ya ulaya, jamaa (US) anapiga pesa balaa huku wao wakiteseka na kuanguka kwa chumi zao! mambo ya ajabu sana haya!
Uchumi wa Japan nao unashuka huko
Hakuna faida ya kuziiishi sera za Marekani