Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
- Thread starter
-
- #21
kwa sababu naona unaihitaji sana...una reasoning ya illiterate...najua wewe ulidhani uranium ni ya kutengeneza nuclear weapons hapa...ndio maana ukasema eti America watashutumu vikali project hii...sio?Kama sio lazima niwe msomi unaniambiaje niende darasani? Kutafuta nini tena?
kwa sababu naona unaihitaji sana...una reasoning ya illiterate...najua wewe ulidhani uranium ni ya kutengeneza nuclear weapons hapa...ndio maana ukasema eti America watashutumu vikali project hii...sio?
Russia will most likely not clinch this deal which it is eyeing in Kenya, most likely it will go to the US, UK or one of its allies in the orient, or a China, which they can tolerate.
Kenya/east Africa is a US/UK domain, and that's a fact.
Edward Wanjala as we have already noticed most Tanzanians hea lack adequate comprehensive skillsRosatom is here!!!! Off we go
waaa Kenya kweli shidaaaa,ukame njaa alafu 2% Inatumia 50% ya fedha zote,hii laana.nchi inaelekea ugiriki, Karibuni na sijui watu watakimbilia wapi.Edward Wanjala as we have already noticed most Tanzanians hea lack adequate comprehensive skills
Writing ROSATOM IS here will not Guarantee end to stupid ignorant comments on this thread so simply say
ROSATOM ni Kampuni Ya UZALISHAJI UMEME KULE URUSI
ROSATOM NDIO MUUZAJI mkubwa wa UMEME WA NYUKLIA DUNIANI
ROSATOM IMEFUNGUA OFISI NAIROBI ILIIWEZE Kupitch its Propasal Ya Kuisaidia Kenya Kuzalisha Umeme wa nyuklia
Kenya inaanza Ujenzi wa NUCLEAR POWER STATION BETWEEN 2020 and 2022 ikamilike Between 2025-2027
Ita tu Gharimu wakenya
Shillingi billioni 500(5bn$) kuzalisha 1077mw ya umeme
Tayari Serikali ishaitenga sehemu itakayo tumia kujenga na Ku store Waste ya Nuclear
Serikali ya Kenya inataka kutumia
20bn$ (2trn kshs) between 2022 and 2033 kujenga nuclear power plants zitakazo zalisha umeme wa 4500mw
SGR ya kenya toka Mombasa hadi malaba Uganda border itaigharimu kenya 1.3trn kshs (13bn$)
View attachment 481630View attachment 481631View attachment 481632View attachment 481633View attachment 481634View attachment 481635View attachment 481636View attachment 481637
Kenya inaangazia kufikisha bugeti ya 35bn$ 2021 mwaka huu Bugeti ya Kenya iko 26.87bn$
Between 2017 -2033 kenya will have Read a combined 520bn$ + budget over 16yrs so who ever we elect as our leader has a chance to change Kenya for the Better
Tanzania has a 12bn$ Budget
Ethiopia has a 10bn$ Budget
So Rosatom Wako Nairobi wanataka kuijengea kenya Nuclear power plant
Wamejenga South Africa sasa wanataka Kuifanya Kenya Nchi ya Pili Afrika Kupata umeme wa Nuclear View attachment 481626View attachment 481627View attachment 481628View attachment 481629
So Rosatom Wako Nairobi wanataka kuijengea kenya Nuclear power plantKaka hata Iran hawakuanza na utengenezaji wa Nuclear weapons, walianza na power plant kisha waka switch kwenye weapons
Anyway ngoja niwaache Waingereza na Project yenu na Russia
hapo ilinishangaza bana...only 2 percent wanakula 50 percent yote? what a shameWwaaa Kenya kweli shidaaaa,ukame njaa alafu 2% Inatumia 50% ya fedha zote,hii laana.nchi inaelekea ugiriki, Karibuni na sijui watu watakimbilia wapi.
Edward Wanjala as we have already noticed most Tanzanians hea lack adequate comprehensive skills
Writing ROSATOM IS here will not Guarantee end to stupid ignorant comments on this thread so simply say
ROSATOM ni Kampuni Ya UZALISHAJI UMEME KULE URUSI
ROSATOM NDIO MUUZAJI mkubwa wa UMEME WA NYUKLIA DUNIANI
ROSATOM IMEFUNGUA OFISI NAIROBI ILIIWEZE Kupitch its Propasal Ya Kuisaidia Kenya Kuzalisha Umeme wa nyuklia
Kenya inaanza Ujenzi wa NUCLEAR POWER STATION BETWEEN 2020 and 2022 ikamilike Between 2025-2027
Ita tu Gharimu wakenya
Shillingi billioni 500(5bn$) kuzalisha 1077mw ya umeme
Tayari Serikali ishaitenga sehemu itakayo tumia kujenga na Ku store Waste ya Nuclear
Serikali ya Kenya inataka kutumia
20bn$ (2trn kshs) between 2022 and 2033 kujenga nuclear power plants zitakazo zalisha umeme wa 4500mw
SGR ya kenya toka Mombasa hadi malaba Uganda border itaigharimu kenya 1.3trn kshs (13bn$)
View attachment 481630View attachment 481631View attachment 481632View attachment 481633View attachment 481634View attachment 481635View attachment 481636View attachment 481637
Kenya inaangazia kufikisha bugeti ya 35bn$ 2021 mwaka huu Bugeti ya Kenya iko 26.87bn$
Between 2017 -2033 kenya will have Read a combined 520bn$ + budget over 16yrs so who ever we elect as our leader has a chance to change Kenya for the Better
Tanzania has a 12bn$ Budget
Ethiopia has a 10bn$ Budget
So Rosatom Wako Nairobi wanataka kuijengea kenya Nuclear power plant
Wamejenga South Africa sasa wanataka Kuifanya Kenya Nchi ya Pili Afrika Kupata umeme wa Nuclear View attachment 481626View attachment 481627View attachment 481628View attachment 481629
Kitu simple kama hio hauwezi kujijibu mwenyewe?Nchi ya kijamaa iwekeze kwenye nchi ya kibepari. Hebu niambieni mpo na nuclear reserve kiasi gani!!? Mpaka Russia waje kuwekeza!!?.
Hebu someni hapa nchi zenye reserve kubwa
The 16 Biggest Uranium Reserves In The World
Najua sana kenya ni wazee wa kukurupuka. Ndio maana kila kukicha mnaangukia pua.Kitu simple kama hio hauwezi kujijibu mwenyewe?
Hebu niambie, Tanzania na uranium yote hio mbona hamjajenga nuclear plant? Mmekua mkiuzia nani?
Huku kenya hatuna gesi lakini tunataka kujenga plant ya 1000MW ya LPG...unafikiri tutapata wapi hio gesi?
Kilo moja ya uranium inaeza kuendesha nuclear submarine kwa zaidi ya miaka ishirini kwahivyo kupata uranium ya kutumika kwa hizo plants si shida hats kidogo, shida ni initial cost, safety na waste management
Nataka niendelee kukusaidia ili ujue kidogo. Soma hapa:Kitu simple kama hio hauwezi kujijibu mwenyewe?
Hebu niambie, Tanzania na uranium yote hio mbona hamjajenga nuclear plant? Mmekua mkiuzia nani?
Huku kenya hatuna gesi lakini tunataka kujenga plant ya 1000MW ya LPG...unafikiri tutapata wapi hio gesi?
Kilo moja ya uranium inaeza kuendesha nuclear submarine kwa zaidi ya miaka ishirini kwahivyo kupata uranium ya kutumika kwa hizo plants si shida hats kidogo, shida ni initial cost, safety na waste management
Nakupatia dude jingine hapa usome. Kisha tumia akili zakoKitu simple kama hio hauwezi kujijibu mwenyewe?
Hebu niambie, Tanzania na uranium yote hio mbona hamjajenga nuclear plant? Mmekua mkiuzia nani?
Huku kenya hatuna gesi lakini tunataka kujenga plant ya 1000MW ya LPG...unafikiri tutapata wapi hio gesi?
Kilo moja ya uranium inaeza kuendesha nuclear submarine kwa zaidi ya miaka ishirini kwahivyo kupata uranium ya kutumika kwa hizo plants si shida hats kidogo, shida ni initial cost, safety na waste management
Yaani unanichekesha sana. Kwanza umesoma links nilizo kupatia?Anneal, hakuna mtu amepinga ya kwako, ila Kenya haipangi kujenga laboratory, inajenga kiwanda cha kuzalisha power toka kwa nuclear hapo kuna tofauti.
Kama ni wanasayansi wa Kenya wa nuclear, Nairobi University tayari ina maabara na kitengo hicho, wengine wakitoka, huenda Korea na China kuongezea ujuzi, miaka saba imeisha tangu mpango huo uanze na sasa group ya pili sasa wamehitimu tayari wanangoja kuajiriwa kwenye kiwanda hicho.
Sasa hapo kama jirani wema, mtatuuzia hiyo Uranium yenu kwa bei nafuu