Russia eyes deal to build Kenya's sole nuclear plant

Kama sio lazima niwe msomi unaniambiaje niende darasani? Kutafuta nini tena?
kwa sababu naona unaihitaji sana...una reasoning ya illiterate...najua wewe ulidhani uranium ni ya kutengeneza nuclear weapons hapa...ndio maana ukasema eti America watashutumu vikali project hii...sio?
 
Kaka hata Iran hawakuanza na utengenezaji wa Nuclear weapons, walianza na power plant kisha waka switch kwenye weapons
Anyway ngoja niwaache Waingereza na Project yenu na Russia
 
Oh, my Kenyan brothers. All these insults u've heaped upon that chap are unwarranted!
Even if Kenya is a sovereign state, do u really think the US/UK will be okay about Russia, their arch enemy help Kenya develop this nuclear facility?
 
Russia will most likely not clinch this deal which it is eyeing in Kenya, most likely it will go to the US, UK or one of its allies in the orient, or a China, which they can tolerate.
Kenya/east Africa is a US/UK domain, and that's a fact.
 
Sema Kenya na Ug labda,usiweke east africa.
 
Rosatom is here!!!! Off we go
Ng9qElIh.jpg

Fkdt8fhh.jpg

Ofewa2Kh.jpg

tOnMreph.jpg
 
Rosatom is here!!!! Off we go
Ng9qElIh.jpg

Fkdt8fhh.jpg

Ofewa2Kh.jpg

tOnMreph.jpg
Edward Wanjala as we have already noticed most Tanzanians hea lack adequate comprehensive skills
Writing ROSATOM IS here will not Guarantee end to stupid ignorant comments on this thread so simply say

ROSATOM ni Kampuni Ya UZALISHAJI UMEME KULE URUSI

ROSATOM NDIO MUUZAJI mkubwa wa UMEME WA NYUKLIA DUNIANI

ROSATOM IMEFUNGUA OFISI NAIROBI ILIIWEZE Kupitch its Propasal Ya Kuisaidia Kenya Kuzalisha Umeme wa nyuklia

Kenya inaanza Ujenzi wa NUCLEAR POWER STATION BETWEEN 2020 and 2022 ikamilike Between 2025-2027

Ita tu Gharimu wakenya
Shillingi billioni 500(5bn$) kuzalisha 1077mw ya umeme

Tayari Serikali ishaitenga sehemu itakayo tumia kujenga na Ku store Waste ya Nuclear

Serikali ya Kenya inataka kutumia
20bn$ (2trn kshs) between 2022 and 2033 kujenga nuclear power plants zitakazo zalisha umeme wa 4500mw

SGR ya kenya toka Mombasa hadi malaba Uganda border itaigharimu kenya 1.3trn kshs (13bn$)

1489660147664.jpg
1489660156173.jpg
1489660166590.jpg
1489660171869.jpg
1489660185275.jpg
1489660201181.jpg
1489660213816.jpg
1489660228646.jpg

Kenya inaangazia kufikisha bugeti ya 35bn$ 2021 mwaka huu Bugeti ya Kenya iko 26.87bn$

Between 2017 -2033 kenya will have Read a combined 520bn$ + budget over 16yrs
so who ever we elect as our leader has a chance to change Kenya for the Better

Tanzania has a 12bn$ Budget
Ethiopia has a 10bn$ Budget

So Rosatom Wako Nairobi wanataka kuijengea kenya Nuclear power plant

Wamejenga South Africa sasa wanataka Kuifanya Kenya Nchi ya Pili Afrika Kupata umeme wa Nuclear
1489660122263.jpg
1489660127898.jpg
1489660133950.jpg
1489660137967.jpg
 
W
Edward Wanjala as we have already noticed most Tanzanians hea lack adequate comprehensive skills
Writing ROSATOM IS here will not Guarantee end to stupid ignorant comments on this thread so simply say

ROSATOM ni Kampuni Ya UZALISHAJI UMEME KULE URUSI

ROSATOM NDIO MUUZAJI mkubwa wa UMEME WA NYUKLIA DUNIANI

ROSATOM IMEFUNGUA OFISI NAIROBI ILIIWEZE Kupitch its Propasal Ya Kuisaidia Kenya Kuzalisha Umeme wa nyuklia

Kenya inaanza Ujenzi wa NUCLEAR POWER STATION BETWEEN 2020 and 2022 ikamilike Between 2025-2027

Ita tu Gharimu wakenya
Shillingi billioni 500(5bn$) kuzalisha 1077mw ya umeme

Tayari Serikali ishaitenga sehemu itakayo tumia kujenga na Ku store Waste ya Nuclear

Serikali ya Kenya inataka kutumia
20bn$ (2trn kshs) between 2022 and 2033 kujenga nuclear power plants zitakazo zalisha umeme wa 4500mw

SGR ya kenya toka Mombasa hadi malaba Uganda border itaigharimu kenya 1.3trn kshs (13bn$)

View attachment 481630View attachment 481631View attachment 481632View attachment 481633View attachment 481634View attachment 481635View attachment 481636View attachment 481637
Kenya inaangazia kufikisha bugeti ya 35bn$ 2021 mwaka huu Bugeti ya Kenya iko 26.87bn$

Between 2017 -2033 kenya will have Read a combined 520bn$ + budget over 16yrs
so who ever we elect as our leader has a chance to change Kenya for the Better

Tanzania has a 12bn$ Budget
Ethiopia has a 10bn$ Budget

So Rosatom Wako Nairobi wanataka kuijengea kenya Nuclear power plant

Wamejenga South Africa sasa wanataka Kuifanya Kenya Nchi ya Pili Afrika Kupata umeme wa Nuclear View attachment 481626View attachment 481627View attachment 481628View attachment 481629
waaa Kenya kweli shidaaaa,ukame njaa alafu 2% Inatumia 50% ya fedha zote,hii laana.nchi inaelekea ugiriki, Karibuni na sijui watu watakimbilia wapi.
 
Kaka hata Iran hawakuanza na utengenezaji wa Nuclear weapons, walianza na power plant kisha waka switch kwenye weapons
Anyway ngoja niwaache Waingereza na Project yenu na Russia
So Rosatom Wako Nairobi wanataka kuijengea kenya Nuclear power plant
 
Wwaaa Kenya kweli shidaaaa,ukame njaa alafu 2% Inatumia 50% ya fedha zote,hii laana.nchi inaelekea ugiriki, Karibuni na sijui watu watakimbilia wapi.
hapo ilinishangaza bana...only 2 percent wanakula 50 percent yote? what a shame
 
Edward Wanjala as we have already noticed most Tanzanians hea lack adequate comprehensive skills
Writing ROSATOM IS here will not Guarantee end to stupid ignorant comments on this thread so simply say

ROSATOM ni Kampuni Ya UZALISHAJI UMEME KULE URUSI

ROSATOM NDIO MUUZAJI mkubwa wa UMEME WA NYUKLIA DUNIANI

ROSATOM IMEFUNGUA OFISI NAIROBI ILIIWEZE Kupitch its Propasal Ya Kuisaidia Kenya Kuzalisha Umeme wa nyuklia

Kenya inaanza Ujenzi wa NUCLEAR POWER STATION BETWEEN 2020 and 2022 ikamilike Between 2025-2027

Ita tu Gharimu wakenya
Shillingi billioni 500(5bn$) kuzalisha 1077mw ya umeme

Tayari Serikali ishaitenga sehemu itakayo tumia kujenga na Ku store Waste ya Nuclear

Serikali ya Kenya inataka kutumia
20bn$ (2trn kshs) between 2022 and 2033 kujenga nuclear power plants zitakazo zalisha umeme wa 4500mw

SGR ya kenya toka Mombasa hadi malaba Uganda border itaigharimu kenya 1.3trn kshs (13bn$)

View attachment 481630View attachment 481631View attachment 481632View attachment 481633View attachment 481634View attachment 481635View attachment 481636View attachment 481637
Kenya inaangazia kufikisha bugeti ya 35bn$ 2021 mwaka huu Bugeti ya Kenya iko 26.87bn$

Between 2017 -2033 kenya will have Read a combined 520bn$ + budget over 16yrs
so who ever we elect as our leader has a chance to change Kenya for the Better

Tanzania has a 12bn$ Budget
Ethiopia has a 10bn$ Budget

So Rosatom Wako Nairobi wanataka kuijengea kenya Nuclear power plant

Wamejenga South Africa sasa wanataka Kuifanya Kenya Nchi ya Pili Afrika Kupata umeme wa Nuclear View attachment 481626View attachment 481627View attachment 481628View attachment 481629

Sammuel999, There are other countries in the pitching, China and Korea, and as it looks, Korea are the most likely winners of the bid, this is because, they have already given scholarship to many Kenyans to study Nuclear Engineering in Korea. Also Korea will not cause any friction between Kenya and other superpowers, especially America. My Friend who is part of the congress at KICC has told me.
 
Nchi ya kijamaa iwekeze kwenye nchi ya kibepari. Hebu niambieni mpo na nuclear reserve kiasi gani!!? Mpaka Russia waje kuwekeza!!?.

Hebu someni hapa nchi zenye reserve kubwa
The 16 Biggest Uranium Reserves In The World
Kitu simple kama hio hauwezi kujijibu mwenyewe?
Hebu niambie, Tanzania na uranium yote hio mbona hamjajenga nuclear plant? Mmekua mkiuzia nani?

Huku kenya hatuna gesi lakini tunataka kujenga plant ya 1000MW ya LPG...unafikiri tutapata wapi hio gesi?

Kilo moja ya uranium inaeza kuendesha nuclear submarine kwa zaidi ya miaka ishirini kwahivyo kupata uranium ya kutumika kwa hizo plants si shida hats kidogo, shida ni initial cost, safety na waste management
 
Najua sana kenya ni wazee wa kukurupuka. Ndio maana kila kukicha mnaangukia pua.

Tanzania ipo Agency makini inayoshughulikia Nuclear. Soma hapa TANZANIA ATOMIC ENERGY COMMISSION

Halafu wewe unasema mnataka. Kumbe bado mpo kwenye mpango na bado hamjaanza!!?

Sasa hapa Tanzania kufikia 2018 kutakuwa Laboratory ya Nuclear Research. Itakuwa kusini mwa Tanzania.

Sisi huwa tunaenda kimya kimya hatupigi mayowe.

Halafu nimekuambia kwamba Nchi ya kijamaa iwekeze kwenye nchi ya kibepari. Hebu fikiria hapo.

Ndege za kivita mwanunua USA wabepari wenzenu. Think think
 
Kitu simple kama hio hauwezi kujijibu mwenyewe?
Hebu niambie, Tanzania na uranium yote hio mbona hamjajenga nuclear plant? Mmekua mkiuzia nani?

Huku kenya hatuna gesi lakini tunataka kujenga plant ya 1000MW ya LPG...unafikiri tutapata wapi hio gesi?

Kilo moja ya uranium inaeza kuendesha nuclear submarine kwa zaidi ya miaka ishirini kwahivyo kupata uranium ya kutumika kwa hizo plants si shida hats kidogo, shida ni initial cost, safety na waste management
Nataka niendelee kukusaidia ili ujue kidogo. Soma hapa:
Welcome to Uranium One
 
Kitu simple kama hio hauwezi kujijibu mwenyewe?
Hebu niambie, Tanzania na uranium yote hio mbona hamjajenga nuclear plant? Mmekua mkiuzia nani?

Huku kenya hatuna gesi lakini tunataka kujenga plant ya 1000MW ya LPG...unafikiri tutapata wapi hio gesi?

Kilo moja ya uranium inaeza kuendesha nuclear submarine kwa zaidi ya miaka ishirini kwahivyo kupata uranium ya kutumika kwa hizo plants si shida hats kidogo, shida ni initial cost, safety na waste management
Nakupatia dude jingine hapa usome. Kisha tumia akili zako

http://m.ippmedia.com/en/news/govt-unaware-nuclear-reactor-talks-russia
 
Mamaaaaah!!! Aiseee simpendagi kenyatta sana lakini kila siku nikipita humu naona tunamiminiwa neema dah, trump akitoka putin anabisha hodi huku xi akichungilia...nasema kazi isonge!
 
Anneal, hakuna mtu amepinga ya kwako, ila Kenya haipangi kujenga laboratory, inajenga kiwanda cha kuzalisha power toka kwa nuclear hapo kuna tofauti.

Kama ni wanasayansi wa Kenya wa nuclear, Nairobi University tayari ina maabara na kitengo hicho, wengine wakitoka, huenda Korea na China kuongezea ujuzi, miaka saba imeisha tangu mpango huo uanze na sasa group ya pili sasa wamehitimu tayari wanangoja kuajiriwa kwenye kiwanda hicho.

Sasa hapo kama jirani wema, mtatuuzia hiyo Uranium yenu kwa bei nafuu
 
Yaani unanichekesha sana. Kwanza umesoma links nilizo kupatia?
Wewe unadhani uranium ni kama maharage ya kuuzwa uzwa tu.

Halafu nataka nikupe taarifa kidogo. Makamu wa rais aliyepita Mohame Gharib Bilal ni mtaalam wa nuclear halafu yeye kwa sasa ni mkuu wa chuo cha Nelson Mandela University kipo Arusha.
Mohamed Gharib Bilal - Wikipedia

Ni miaka mingi sana sisi tupo na maandalizi ya masuala haya since 70s. Tunajua madhara ya radiations.

Halafu ninapokuambia Laboratory usichukulie poa. Siyo kila kitu kinakuwa exposed. Wewe soma kuhusu company ya Uranium One. Hii ni company ya Russia utaelewa ninacho kuambia. Labda unataka kuleta ubishani tu.
 
Back
Top Bottom