Russia imeikatia umeme Lithuania, mwaka huu nchi za EU lazima ziwashe makoroboi (vibatari)

Acha blaa blaa...Hizi akaunti za Ruble walizofungua Ujerumani wanalipia maji ya Uhai? Na hii imeripotiwa jana tu...

 
Kwahiyo hapo unakuwa umelipa kwa dollar sio? Basi wewe ni zwazwa kweli kweli.
 
Duh i'la watanzania sijui mkoje. Utaskia mtu aifananisha urusi na Tanzania.
Utaskia tuna vyuo vizuri vya afya kuliko vya Urusi.
Utaskia urusi ni Zimbabwe iliyochangamka.
Haya sasa kwa dalili hizi Ni kwamba Russia hata umeme anao Hadi wa kuuza kwa maadui Kama natot
 
Nchi za Ulaya sio sawa na kijijini kwa bibi yako mkuu..huko ni kata funua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…