Russia ipo tayari kusaidia Wakristo Nigeria dhidi ya Magaidi.

Russia ipo tayari kusaidia Wakristo Nigeria dhidi ya Magaidi.

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Rais mbabe mbele ya Magaidi asiyecheka na wowote amesema ana mpango wa kuwasaidia Wakristo waliopo Nigeria kupambana na Magaidi. Tupate habari kamili.

Screenshot_2025-11-29-17-10-20-535_com.instagram.android~2.jpg
 
Makobazi humu si yanawaonaga urusi na china ni wenzao haya sasa sjui watasema nn humu sku mkristo mu orthodox bwana putin atakapopeleka jeshi huko nigeria nakufyeka wale wapenda mademu mpk akhera.
 
Wakristo wajinga wako Nigeria pekee.

Mna uwawa na kutekwa kama mbuzi walionywesha dawa za usingizi?

Hivyo Putin ndiye atakuwa masiha/ yesu mkombozi mpya?

Auaye kwa upanga naye hufa kwa upanga, nyie wa kristo wa nigeria hamna mapanga, hamzijui bunduki hadi karne hii?

Pumbavu sana wacha yafe.
 
Huyo Putin akimaliza kuteketeza Boko HARAM Nigeria, mwambieni kuna Boko Haram nyingine Tanzania inaitwa ccm
 
Bwana Putin hajawahi kutoa kauli ya namna hiyo but kilichopo ni mikataba wa mafunzo, silaha, na ushirikiano wa kijeshi kati ya Nigeria na Russia wa mwaka 2025. Ambapo kwa mahusiano hayo yanaweza kupelekea kupungua kwa nguvu ya Boko Haram nchini humo!
Aliyewahibkuwataja wakristo wa Nigeria kama kundi wahanga wa Ugaidi ni bwana Trump hapo mwezi October 2025.
 
Ndio nimeona leo huu ujinga
Hapa ndio uthibitisho wa JF imejaa mimbulula na minyumbu, na asilimia 95% ya wa watumiaji wake ni fuvu zilizojaa tope na kamasi
Yaani mtu anaweza kuokota upupu wowote mitandaoni ulioandikwa na wapumbavu waliojuamulia kujiandikia utumbo, halafu ng'ombe ya JF inaenda kuokota na kuleta humu kama taarifa ya ukweli
Halafu anapata myumbu wenzake wanaoamini kkabisa hii ni taarifa ya kweli
 
Back
Top Bottom