incinc
Member
- May 23, 2023
- 17
- 24
Naiyona hii vita kuwa kubwa taratibu...baada ya jumatatu kutokea uvamizi mpakani mwa Russia na Ukraine katika jimbo la Belgorod sasa kuna vita mbili Russia anaanza kupambana nazo...vita ivyo ni Russia vs jeshi la Ukraine wakisaidiwa na washirika wa NATO na yapili ni Russia vs wanamgambo wanao jiita kikosi cha kujitolea cha urusi (RDK) kingine ni jeshi la uhuru wa russia (LSR)....kwa mtazamo wangu naona taratibu washilika wa Ukraine wanaanza kuwin kwa kupitia mapandikizi haya tumeona mara nyingi nchi za africa zikiangaika na watu wa namna hiii pia hii formula inaenda kutumika Russia....pasipo kulishulikia ili jambo kiukubwa nadhani urusi itaenda kusumbuka na vita hii ndani ya mipaka yake....kwa njia hiii adui ameanza kuingia na kusumbua ndani ya urusi.