Unaongelea wazungu Gani ndugu?
Hawa waliowashindwa Watalaban?
Au Kuna aina mbili za wazungu?
Sikiliza ndugu yangu.
Kuna Kikundi kilitisha sana kiliitwa ISIS,Hawa waliteka miji yote ya Syria walibakisha Allepo na Damasko TU.
Urusi ilipoingilia iliisaidia kurudisha miji yote iliyotekwa na hao wahuni wote wakapotezwa mazima. wakisaidiwa na USA,UK na Fr na wale walioitwa Free Syrian Army.
Hao wahuni na USA UK na Fr walipanga kumuondoa Assad Leo Asad karudishwa Arab league.
Sasa Leo waasi wajitokeze Urusi,unajua kitakachotokea?