Russia vs Ukraine & wanamgambo pandikizi

Hapo Matakore PUTIN ataanza kulitawanya jeshi lake huku na kule na hapo sasa kichapo atapokea cha kufa mtu . Achana na Wazungu wa Europe na USA watamsumbua sana huyu Matakore PUTIN.
Kwa hiyo unadhani Russia hawalijui Hilo na kwamba wameshitukizwa...Pole sana Ndugu
 
Kwa hiyo unadhani Russia hawalijui Hilo na kwamba wameshitukizwa...Pole sana Ndugu
Uwezi kufanya jambo kwa 100%...kama wangejua mapema sidhani kama ardhi yao ingekanyagwa..kama ni ivyo kuna makosa ya kiutendaji wa ilo eneo yalifanyika
 
Ndio sasa huko urusi makundi yashakuwepo na yanashusha kibano sasa hizo ndaro utamtisha nani, wao wameshatathmini hali halisi ya ku face dikteta putin kuliko wewe ulie na katekno kako huko kwa mtogole
 
Uwezi kufanya jambo kwa 100%...kama wangejua mapema sidhani kama ardhi yao ingekanyagwa..kama ni ivyo kuna makosa ya kiutendaji wa ilo eneo yalifanyika
Duh...uliwahi kusikia wapi kwamba operations zote huwa zinaenda smoothly?! Eti operation ifanyike bila kuwa na mapungufu?! Huvi unajua kwanini mpaka Sasa Russia anatumia Wagner na Recruits huko vitani?!
 
Russia anatumia mamluki kwa sababu karibia askari wake wote waneshachinjwa!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli wanauwana lakini bado nguvu kubwa urusi ajatumia...jeshi kamili na baadhi ya silaha zenye nguvu pia....urusi akisema atumie nguvu yote hii vita...naamini ndani ya wiki anamaliza Ukraine
Silaha gan mrusi hajatumia mpaka sasa ukiacha nyuklia mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…