Russia wamerusha makombora mazito 11 kati ya hayo 9 yamedunguliwa

Putin hii vita haitamwacha salama kiakili na kiafya.
Hakutegemea hili
 

Source UkraniaPravda!!! Kama ni kweli wamefanikiwa kutungua missiles 9 kati ya 12 zilizo vurumishwa na Urusi iweje leo 50% ya Taifa la Ukraine linakosa umeme ie wapo kwenye giza totoro kabisa baada ya vituo vya kuzalisha umeme na usambazaji zaidi ya 12 kulipuliwa na Cruise missiles za Urusi.

Sasa kama Ukraine wanadai wana uwezo mkubwa wa kutungua missiles za Urusi,je,zilizo lipua vituo na transformers zilipita wapi - ukisikiliza ngonjera za Zelensky na wasaidizi wake ni burudani tosha kabisa.
 
Hayo matatu yametua wapi na yameacha uharibifu gani?

Hana jibu - ila habari za kuaminika Urusi leo kalipua vituo vya kuzalisha umeme na transformers za kusambaza umeme jumla ni zaidi ya 12 ndani ya siku moja, hivi sasa 50% ya Taifa la Ukraine hawana umeme kabisa - wanao sema Ukraine wamefanikiwa kutungua cruise missile 9 za Urusi kati ya zile 12 zilizo rushwa,iweje tena leo facilities zaidi ya 12 nchini Ukraine zilipuliwe na cruise missiles 3 tu - hii inaingia akilini kweli??
 
Source: RT
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni mavi takataka!

Sasa kama unamini kwamba urusi imelipua vituo 12 vya kuzalisha umeme, unapata wapi mshipa wa kubisha kwamba Ukrain wametungua makombora 9 kati ya 12 toka urusi?
 
We jamaa mtoa siredi eh, hayo matatu vipi? au bado yapo hapo angani yanasubiri kudunguliwasm.
 
Kifupi ni hawakuweka defense systems uko maana hawakujua ukichaa wake ungemtuma hvyo
 
Kifupi ni hawakuweka defense systems uko maana hawakujua ukichaa wake ungemtuma hvyo

Vita si kitu kizuri, lakini looking back now Urusi iliwahi kumuonya Zelensky mara ngapi na akapuuzia - kachukua Minsk accord kaichana chana na kuitumbukiza kwenye Dust Bin - kisa? Kashauriwa na Biden/America admin. upuuzie Putin na kutowekea maanani concerns za Urusi kuhusu hakikisho la usalama wa Taifa la Urusi - sasa mlitaka Urusi kumbe ifanyeje ili kujihakikishia usalama wake wa kudumu - who can blame Russians/Putin?
 
 
J
Jipe moyo
 
J
Jipe moy
Usijitoe ufahamu Putin alikataa had ushaur wa UN. ,papa ndio kabisa aliambiwa asijisumbue,uwe unafuatilia mambo maana had swahiba wake wa France alimkatalia alidhamiria kuichukua Ukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…