Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Oohooo England wanaweza shinda hii gemu aisee!
Lukaku haziwezi timu kubwa....Lukaku bado ana nafasi mkuu huwezi jua yajayo
EwaaaaaPenalti zimewadia
Hii ngoma inaenda kwwnye matuta mkuu.
England watoke tu kupunguza kelele.
Kuna wachezaji wa corombia pia wanaojua kiingerezami sijazungumzia uraia wake nimezingumzia lugha anayotumia..ni mmarekani
Historia inaonyesha England kwenda katika penalty mara 3 na wamepoteza zote. Columbia hii ni mara yao ya kwanzaOohooo England wanaweza shinda hii gemu aisee!
Ngoja tusubiri mwisho wakeLukaku haziwezi timu kubwa....
Historia inaonyesha England kwenda katika penalty mara 3 na wamepoteza zote. Columbia hii ni mara yao ya kwanza
Kwa hali ilivyo, uwezekano wa England kushinda hasa kwa kuangalia washambuliaji wake ni mashaka tupu. Timu za America kusini ni nzuri sana katika upigaji, sijui labda Columbia iwe tofauti. Naona 'msiba' London Bridge.
England anaondoka hii
Tunangoja...Ngoja tusubiri mwisho wake