Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Haya yupi unampa nafasi kwenda Quarter final kupitia changamoto ya mikwaju ya penalt
 
England ndio wana pressure kuliko Colombia. Maana walishashinda wakajisahau wenyewe. Namwona Ospina akicheza penalt mbili za england.
 
Oohooo England wanaweza shinda hii gemu aisee!
Historia inaonyesha England kwenda katika penalty mara 3 na wamepoteza zote. Columbia hii ni mara yao ya kwanza

Kwa hali ilivyo, uwezekano wa England kushinda hasa kwa kuangalia washambuliaji wake ni mashaka tupu. Timu za America kusini ni nzuri sana katika upigaji, sijui labda Columbia iwe tofauti. Naona 'msiba' London Bridge.
 
We’ll soon find out....
 
Back
Top Bottom