Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

akipangwa Bobby Firmino kama mmoja wa strikers pale mbele, hakuna wa kuwazuia Seleção!
 
IMG_20180704_165003.jpg
 
Ubeljiji hawana nia,sababu wala uwezo wa kuwazuia Selecao a.k.a Samba boys,Pentane...mshiriki pekee ambaye hajawahi kukosa mashindano hayo tangia yaanze,ndiyo timu pekee ilowahi kuchukua kikombe cha dunia moja kwa moja (Jules Rimet),....
 
Mechi ninayoisubiri kwa hamu kuliko zote ni Croatia vs Russia kwa maana Russia mwanzo sikuipa nafasi kabisa lakini walipoishika na hatimaye kuitoa ktk mashindano Spain walinitisha sana.
Kingine Croatia ni timu ninayoisapoti baada ya France.

Vinginevyo mechi nyingine ngumu na kali kwangu ni France vs Uruguay japo naipa France nafasi kubwa ya kushinda.

Kesho ni siku [emoji39][emoji39]
 
Back
Top Bottom