Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Brazil ya sasa 2018 imechanganya samba na mpira wa ulaya ,hata kikosi,tofauti na Brazil ya 2010 ( iliyotufunga 5-1 taifa)- 2014 ,hii ya sasa inapobidi kucheza samba wanacheza ,inapobidi kucheza soka la ulaya wanacheza
 
Poleeee,kesho niko against na wewe [emoji12]
Tena natamani mtolewe hatariiiiiii nimezichoka drama za NeymarJr.
Ungeanza kuwachoka marefa walioboronga kiasi cha kuacha kuwaadhibu wakosaji na wakati mwingine kutoa adhabu tata kama aliyesimamia mchezo wa Columbia na watoto wa elizabeti.....🙄
 
Msimamo kamili wa kombe la dunia ni huu: (1) France, (2) Sweden , (3) Belgium. Inaudhi kuwa zote ni nchi za Ulaya!!

 
Najua sio kazi nyepesi ila nitafurahi kesho Brazil akikalishwa.

Hakuna cha kina Neymar wala nani.
Hahahhhh.. Haupo serious mkuu.
Huyo mbelgiji wako anakalishwa mapema tu kesho. Tusikimbiane tu humu[emoji3]
team[emoji1054][emoji1054][emoji1054][emoji1054][emoji1054][emoji1054][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Msimamo kamili wa kombe la dunia ni huu: (1) France, (2) Sweden , (3) Belgium. Inaudhi kuwa zote ni nchi za Ulaya!!

Jinsi Timu zilivyopangwa hapo nahisi Kombe la Dunia Huwa Lina kautalamu Fulani ka kupanga ratiba kuwa Timu zipi zikutane.Maana naona Timu kali (Ubelgiji,Brazil,Uruguay,France zipo upande mmoja huku upande mwingine umekaa kichovuchovu
 
akipangwa Bobby Firmino kama mmoja wa strikers pale mbele, hakuna wa kuwazuia Seleção!
Siyo Lazima apangwe Firmino.Kama uliangalia ile mechi ya Brazil na Mexico utagundua kuwa Firmino anapaswa kutokea Sub.Jesus alicheza kama Striker lakini ukiangalia Kwa Makini alikuwa Striker wa Uongo,muda mwingi alikuwa anarudi katikati kuchukua mipira na kukaba.Then akina Neymar na Coutihno ndo wakawa kama Mastriker ndiyo maana hata Sub alitolewa Coutihno.Jesus akarudi nyuma.Na ndipo Firmino akafanya yake Kirahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…