Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kakosa kichwa hatari pale..Dogo kajaa tele mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakosa kichwa hatari pale..Dogo kajaa tele mkuu
Kabisa mkuu, wanaukuta mzuri sana.Namfananisha na Henry mbio zake,ingawa Leo Uruguay wako makini kublock counter attack na mipira ya juu
Sawa Sesten.Andaa tu kalamu na karatasi Mkuu
Mpira kidogo umpite ndio maana kapiga cha namna hiyo wakati anauwahiMbappe bwana kichwa gani kile kama anapiga chabo chooni
Mpira wa mguu akaforce kupiga kichwaKakosa kichwa hatari pale..
Karibu sanaSawa Sesten.
Ule upande aliokua nao una MTU yuko vzrHuyu Pavard yuko vizuri ni very attacking minded full back.
Mourinho angemsaini huyu kama mrithi wa veterani Antonio Valencia. Sema ndio kashaenda Bayern Munich
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka usiwe na hofu kabisa hautachanika badae mkeka wangu upo kwa Brazil yangu
Hii ni special Kwa leoHahahaaa. Kwani tangia Kombe la dunia lianze mwaka huu ni timu gani mchezaji alipata red kutokana na kunyanyaswa na Brazil.
Hebu nikumbushe ili nijiridhishe kwamba na leo itajirudia Mkuu.
Muulize Canavaro alibadilishana na mchezaji wa nje kilichomtokeaHivi timu zetu jezi ikichanika ipo ya ziada kweli?
SidhaniHii mechi inaweza kwenda extra time