acha wafungwe nipige ela mie,,
wazee wa betting
Afya ya mkeka wako mpk sasa ni swafi.MAAJABU YA ROBO FAINALI YA FIFA WORLD CUP 2018
Mechi ni...
FRANCE vs URUGUAY
BRAZIL vs BELGIUM
SWEDEN vs ENGLAND
RUSSIA vs CROATIA
SASA ONA MAAJABU...
FRANCE ina herufi 6
URUGUAY ina herufi 7
BRAZIL ina Herufi 6
BELGIUM ina Herufi 7
SWEDEN ina herufi 6
ENGLAND ina Herufi 7
RUSSIA ina herufi 6
CROATIA ina herufi 7
Mechi zitachezwa tarehe 6 & 7 July
kwa ufupi ni 6 vs 7
... Usipokuwa na imani strong utajua Free Mansons wanaendesha world cup!
Ajabu zaidi... team zote zilizo upande wa kushoto katika kila mechi ambazo zilianza kuingia robo fainali zina herufi 6 afu za upande wa kulia ndo zina herufi 7...
Wazee wa ku-bet chukueni hii
[emoji116]
Leo ni tar 6 timu zenye herufi 6 (France and Brazil) zitashinda,, kesho ni tar 7 timu zenye herufi 7 (England na Croatia) zitashinda
#Sa iv sitaki kutabiri kwa kutumia utashi,, nipo kifreemanson zaidi!
Mods naomben huu uzi msije kuunganisha plz
...[emoji41][emoji41][emoji41][emoji1054][emoji1054][emoji1054]
2
Weka jiwe, sema niweke nn [emoji2][emoji2]
Kabla haujafika kwa umtiti na varane unatakiwa uwasiliane na kante, kajamaa kanawalinda sana mabeki.Kabisa, anawapandisha ndege wenzake. Mbili bila ni ngumu kuchomoa kulingana na beki ya France ilivyo
Uwezekano upo ndiyo maana kocha ameongeza beki mzoefu ili kuruhusu mabeki wengine wapande. Halafu kamuingiza Gomez kumsaidia Suarez na anaendelea namabadiliko. Ukiangalia kwa umakini Uruguay wametawala sehemu ya kati kati na hiyo inakata mawasiliano ya ufaransa na uwezekano wa goli upoMkuu una moyo sana, utabiri wako unaweza kuwa wa ukweli ila sioni juhudi za kurudisha magoli kutoka kwa Uruguay, labda mchezaji wa France ale kadi nyekundu
Aaah....nn huelewiii[emoji34]Nikubetishe vipi sasa
Brazil,.kama kawaidaa[emoji1483]upo team gn tonight?
kumbe uko nondo kuchambua mpira,,Timu za america ya kusini zinacheza sana kiulaya ndio maana hata swisa inaidindishia brazil siku hizi. Kombe labaki ulaya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njoo
washapotea haoSuarez kapooza sana leo kule mbele, kweli kabisa Cavan anakuwa na mshikemshike sana kule mbele
Sasa naona pengo la Sheikh Yahya halipo tena, viatu vimekutosha kabisa.... ohhh sorry Mwalimu Kashasha
[emoji23][emoji23][emoji23]mechiiiDeal.....tunabet nini kwanza?
Aaah....nn huelewiii[emoji34]
My mkeka is officially wrecked
Mechi buana...Si mahela jamani