Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

MAAJABU YA ROBO FAINALI YA FIFA WORLD CUP 2018

Mechi ni...

FRANCE vs URUGUAY
BRAZIL vs BELGIUM
SWEDEN vs ENGLAND
RUSSIA vs CROATIA

SASA ONA MAAJABU...

FRANCE ina herufi 6
URUGUAY ina herufi 7

BRAZIL ina Herufi 6
BELGIUM ina Herufi 7

SWEDEN ina herufi 6
ENGLAND ina Herufi 7

RUSSIA ina herufi 6
CROATIA ina herufi 7


Mechi zitachezwa tarehe 6 & 7 July

kwa ufupi ni 6 vs 7



... Usipokuwa na imani strong utajua Free Mansons wanaendesha world cup!


Ajabu zaidi... team zote zilizo upande wa kushoto katika kila mechi ambazo zilianza kuingia robo fainali zina herufi 6 afu za upande wa kulia ndo zina herufi 7...

Wazee wa ku-bet chukueni hii
[emoji116]
Leo ni tar 6 timu zenye herufi 6 (France and Brazil) zitashinda,, kesho ni tar 7 timu zenye herufi 7 (England na Croatia) zitashinda

#Sa iv sitaki kutabiri kwa kutumia utashi,, nipo kifreemanson zaidi!

Mods naomben huu uzi msije kuunganisha plz


...[emoji41][emoji41][emoji41][emoji1054][emoji1054][emoji1054]
2
Afya ya mkeka wako mpk sasa ni swafi.
 
Mkuu una moyo sana, utabiri wako unaweza kuwa wa ukweli ila sioni juhudi za kurudisha magoli kutoka kwa Uruguay, labda mchezaji wa France ale kadi nyekundu
Uwezekano upo ndiyo maana kocha ameongeza beki mzoefu ili kuruhusu mabeki wengine wapande. Halafu kamuingiza Gomez kumsaidia Suarez na anaendelea namabadiliko. Ukiangalia kwa umakini Uruguay wametawala sehemu ya kati kati na hiyo inakata mawasiliano ya ufaransa na uwezekano wa goli upo
 
Timu za america ya kusini zinacheza sana kiulaya ndio maana hata swisa inaidindishia brazil siku hizi. Kombe labaki ulaya.
kumbe uko nondo kuchambua mpira,,

brazil ndipo wanapoteleza hapo,,

naskia kule brazil wanaoujua mpira wako gerezani na mahabusu,, asa wakiachiwa na ukiwakuta wanausakata noma sanaaaa, watoto wa kihuni ndo wanaujua mpira, asa awa wa kina neymar mmnnh,, brazil ilikuwa ile ya kina gaucho+rivaldo+ronaldo,, ila siku hizi wamejaa wanyoa viduku na wang'ata lips,,[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom