Brazil,.kama kawaidaa
nakumbuka sanaaaa ,kile kilikuwa cha mbwa koko
Mechi buana...
[emoji35][emoji35][emoji35][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sijaelewa kweli
Uwezekano upo ndiyo maana kocha ameongeza beki mzoefu ili kuruhusu mabeki wengine wapande. Halafu kamuingiza Gomez kumsaidia Suarez na anaendelea namabadiliko. Ukiangalia kwa umakini Uruguay wametawala sehemu ya kati kati na hiyo inakata mawasiliano ya ufaransa na uwezekano wa goli upo
Ni shhhheeeedaaaa,..tukishinda si utanipa ee shogaanguWooooozeeeeerrrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ndio tunapangana...Sawa mechi ila mnapeana nn
njoo mie nianguke na mkeka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]mechiii
shukrani mkuu.Inaitwa sofascore, ndio ina basketball pia
[emoji23] [emoji23] [emoji736]Sioni ni kwa namna gani Uruguay wa naweza kuchomoa kwasababu hawa France bado wanakasi kubwa sana, ni ngumu sana kwa. Uruguay kufunguka kushambulia.
We unataka nn?!Mechi sawa, dhamana tunaweka nini?
Hapana , wanategemea mipira ya juu. Attemp zinakuwa blocked na hasa sifa iende kwa Umtiti.Ili ushinde mkuu inabidi kuwe na attempts on goal, sasa hawa ndugu zetu wanaruka ruka tuu uwanjani, hayo magoli yatarudije?
Bado dakika 12 wafunge magoli mawili ili waendelee kuwepo kwenye mashindano haya
Pamoja sana kiongozishukrani mkuu.
Weka mahela halafu unikimbie
Bora uanguke nao,.usichanike tuu[emoji23]njoo mie nianguke na mkeka[emoji23]
Haya, hivi unawaona hawa ufaransa wanavyokuja lakini!?Mpira ukifika katikati Uruguay wametawala na hapo Ufaransa wanaweza kulipa gharama
[emoji35][emoji35][emoji35]