Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Mpira ukifika katikati Uruguay wametawala na hapo Ufaransa wanaweza kulipa gharama
 
Uwezekano upo ndiyo maana kocha ameongeza beki mzoefu ili kuruhusu mabeki wengine wapande. Halafu kamuingiza Gomez kumsaidia Suarez na anaendelea namabadiliko. Ukiangalia kwa umakini Uruguay wametawala sehemu ya kati kati na hiyo inakata mawasiliano ya ufaransa na uwezekano wa goli upo

Ili ushinde mkuu inabidi kuwe na attempts on goal, sasa hawa ndugu zetu wanaruka ruka tuu uwanjani, hayo magoli yatarudije?

Bado dakika 12 wafunge magoli mawili ili waendelee kuwepo kwenye mashindano haya
 
Hapana , wanategemea mipira ya juu. Attemp zinakuwa blocked na hasa sifa iende kwa Umtiti.
 
Back
Top Bottom