Pogba anacheza kwa utulivu sana..yeye na kante wanaifanya middle ya france iwe compactHuyu pogba wa france hadi kukaba ana kaba ila akiwa na man utd,shughuli inabaki kwenye mitindo ya nywele tu.
Naomba hata auzwe tujue moja pale OT.
Leo inabidi upate kahawa usije kuniacha kwenye mataa kama juziHeeee kathiasiiii
MmhTimu zenye namba ambazo hazigawanyiki ndio zina possibility kubwa ya kushinda Leo ushindi mwembamba au Wa mbinde
Hahaha. This is my new luggage. I called it Neymar..kaniacha hoi aliposema if you dare to touch it, it will turn around and around for hour..Wacha aendelee na upuuzi akina mbappe watamwacha kama amesimama, ashaonywa na wakongwe akina can7onaView attachment 803841
Ndio maana umeambiwa ukiwa na iman strongHizi ni imani tu
Atakayecheza vizuri ndio ataibuka mshindi haya mambo mengine siyo
Ah ah ah ah ahNgoja nisubirie matokeo then nitathibitisha kama kweli wewe ni Freemason au Kalumanzira uchwara.
Beki gani wa kumfanya mtu mzima lukaku asiingie nyavuni..miranda?,,T.silva?..au nani?Huyo leo hawezi fanya lolote, kwa mabeki wale wa Brazil hawezi kupenya pale.
Anza kujilipua leo ndugu yanguUkienda sawa leo kesho najilipua.. ila wasiwasi wangu ni kwa Rusia...
Shukran sana
MAAJABU YA ROBO FAINALI YA FIFA WORLD CUP 2018
Mechi ni...
FRANCE vs URUGUAY
BRAZIL vs BELGIUM
SWEDEN vs ENGLAND
RUSSIA vs CROATIA
SASA ONA MAAJABU...
FRANCE ina herufi 6
URUGUAY ina herufi 7
BRAZIL ina Herufi 6
BELGIUM ina Herufi 7
SWEDEN ina herufi 6
ENGLAND ina Herufi 7
RUSSIA ina herufi 6
CROATIA ina herufi 7
Mechi zitachezwa tarehe 6 & 7 July
kwa ufupi ni 6 vs 7
... Usipokuwa na imani strong utajua Free Mansons wanaendesha world cup!
Ajabu zaidi... team zote zilizo upande wa kushoto katika kila mechi ambazo zilianza kuingia robo fainali zina herufi 6 afu za upande wa kulia ndo zina herufi 7...
Wazee wa ku-bet chukueni hii
[emoji116]
Leo ni tar 6 timu zenye herufi 6 (France and Brazil) zitashinda,, kesho ni tar 7 timu zenye herufi 7 (England na Croatia) zitashinda
#Sa iv sitaki kutabiri kwa kutumia utashi,, nipo kifreemanson zaidi!
Mods naomben huu uzi msije kuunganisha plz
...[emoji41][emoji41][emoji41][emoji1054][emoji1054][emoji1054]
2
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]hahahaha Uruguay anashnda ww
Haya mambo unayapatia wapi? Nielekeze na Mimi niyapate.Wacha aendelee na upuuzi akina mbappe watamwacha kama amesimama, ashaonywa na wakongwe akina can7onaView attachment 803841
Naaam kikubwa duaAfya ya mkeka wako mpk sasa ni swafi.
Namsikilizia brazili je itakuwa kweri kama maandiko yalivyosemaUtabiri wako vipi baada ya mechi ya kwanza kuisha?
Ungeanzia leo shekheeduh! Ngoja kesho nikatandike mkeka
How?Kama ndo hivyo Russia bingwa