Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Namhurumia huyu Brazilian facial yani career yake kwa huu uchezaji wake anasafari ndefu. Hapambani kama wenzake akina Mesi na Ronaldo ijapokuwa wametoka. Yeye analeta show game za kipuuzi, anafanya masihara wakati wenzake wanafanya kweli. Watu wanataka kombe ye anafanya mambo ajabu ajabu.
Wacha aendelee na upuuzi akina mbappe watamwacha kama amesimama, ashaonywa na wakongwe akina can7onaView attachment VID-20180703-WA0024.mp4
 
tbc wampe nafasi zaidi dr liki hawa akina dada wanafanya nini hapa
Wanataka usawa ila huyu dada wanamuita kocha sioni anachochambua. Ila haka katangazaji mpaka kiunoni kimuonekano kako vizuri, sijui huko mwili unakoendelea kukoje.
 
IMG_20180704_165003.jpg

Ahsanteni haters kwa kutonichania mkeka wangu.

Muendelee hivyo hivyo na mechi zijazo
 
kumbe uko nondo kuchambua mpira,,

brazil ndipo wanapoteleza hapo,,

naskia kule brazil wanaoujua mpira wako gerezani na mahabusu,, asa wakiachiwa na ukiwakuta wanausakata noma sanaaaa, watoto wa kihuni ndo wanaujua mpira, asa awa wa kina neymar mmnnh,, brazil ilikuwa ile ya kina gaucho+rivaldo+ronaldo,, ila siku hizi wamejaa wanyoa viduku na wang'ata lips,,[emoji23] [emoji23]
Hayo maneno tu..ila wachezaji wote wa kipindi hiki wanafanana,ukitoa messi na ronaldo..
 
Back
Top Bottom