Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Yaani dakika ya 92 mtu ndio anafanyiwa sub ? Mi ndio kama mchezaji kocha ananiambia niingie mida hiyo mi siingii. Yaani dakika 90 zote ukuniona ndio unaniona sasa hivi ?
Ukikataa ndiyo mwisho wa kuitwa Timu ya taifa
 
Yaani dakika ya 92 mtu ndio anafanyiwa sub ? Mi ndio kama mchezaji kocha ananiambia niingie mida hiyo mi siingii. Yaani dakika 90 zote ukuniona ndio unaniona sasa hivi ?
Ile ni mbinu ya kupoteza muda. Kubadilisha tu kunaweza kuchukua dakika 2, muda wa nyongeza ni 5 kwahiyo ngoma inachezwa dk 3
 
Semi final
France vs brazil/Belgium
[emoji28]
IMG-20180706-WA0006.jpg
 
France imeshinda lakini mechi ilikuwa haivutii kwasababu Uruguay ni very organized team ilichokifanya leo France ni kuwa technical tu kuvuruga mipango ya Uruguay na pengo la Cavan limeinekana sometimes team inayo win ugly inanafasi ya kufika mbali
 
Back
Top Bottom