Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

mkuu ila hii game tyt
Kabisa kaka, lakini Brazil huwa wanatabia ya kupooza mpira na kushambulia kwa mipango sana huku wakikaa na mpira muda mrefu bila kushambulia kwa kukimbiza saana, kwa maana hiyo presha ya mechi inakuwa chini, sasa Belgium wao wanacheza mpira kwa kasi sana wakitumia zaidi mawinger wao Hazard na De Bruyne, ambao leo wanakutana na mabeki bora kabisa.
Katika hali kama hii Brazil wakifanikiwa kuipoza presha ya Belgium na kuwavuta kuiga mpira wao, basi watakuwa wanajizika wenyewe Belgium.
Kama wanataka kushinda basi leo wawe makini sana Belgium.
Pia ningeshauri Lukaku angepumzika na badala yake akacheza Basuery pale mbele
Lukaku hana uwezo wa kukabana na Thiago Sliver.
 
Mimi mkeka wangu huo ni wa tangu tarehe 29 june, hadi sasa umechanika mara mbili tu kama unavyouona
Ah ah ah ah ah ah ah nawasiwasi na lukaku anaweza kuwa out of mood kabisa katika game ya leo au akacheza low pamofance tokana na safu ya ulinzi ya brazil
 
Ah ah ah ah ah ah ah nawasiwasi na lukaku anaweza kuwa out of mood kabisa katika game ya leo au akacheza low pamofance tokana na safu ya ulinzi ya brazil
Mimi haijalishi wacheze vipi, nimetandika kwa ujumla.
Akishindwa yeye kuperform ataperform mwingine, ngoma inaenda mbele
 
Umechambua vizuri lakini kuhusu lukaku unajua jamaa ana mwili wenye nguvu na ana maamuzi ya haraka.
 
unachoongea ni kweli kabisa, ila wachezaji wote wana kiwango cha dunia najua umenipata, hii game kwa watu wasiowajua belgium najua wataidharau, ila belgium mpira wake ni long pass,,, brazil najua wanapiga pass fupi,,,

ila mm ntafurai kuona soka ya uhakika na yenye magori,,,

leo upangaji wa kikosi ndo utavigarimu timu yoyote ile,,,

mkuu ngoja nikale kabisa ili niwai siti ya mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…