Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Kabisa kaka, lakini Brazil huwa wanatabia ya kupooza mpira na kushambulia kwa mipango sana huku wakikaa na mpira muda mrefu bila kushambulia kwa kukimbiza saana, kwa maana hiyo presha ya mechi inakuwa chini, sasa Belgium wao wanacheza mpira kwa kasi sana wakitumia zaidi mawinger wao Hazard na De Bruyne, ambao leo wanakutana na mabeki bora kabisa.mkuu ila hii game tyt
Katika hali kama hii Brazil wakifanikiwa kuipoza presha ya Belgium na kuwavuta kuiga mpira wao, basi watakuwa wanajizika wenyewe Belgium.
Kama wanataka kushinda basi leo wawe makini sana Belgium.
Pia ningeshauri Lukaku angepumzika na badala yake akacheza Basuery pale mbele
Lukaku hana uwezo wa kukabana na Thiago Sliver.